Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Mh!!!!!!!!!
Nungekushauri ungeomba msamaria mwema badala ya kuwa specific kwa akina dada kama kweli unatatizo, otherwise wa JF wanakuona kama womanizer
 
Ficha upumbavu wako kama una uwezo wa kumpeleka kazini huyu msichana unayetaka akusaidie kwanin ilo gari lako usilitumie kama tax?,mtafute dereva wa tax mkabizi gari uwe unapata 15k kwa siku,au kama maisha magumu uza gari nenda hata kawe kuna nyumba za bei rahisi za kupanga,acha kubweteka!! Mwanamme asifiwe uhandsome bali kazi na kwenda bank kudeposit au kuchukua midolari!
wazo ni zuri la kuuza gari lakini nahofia nikipata kazi c nitahitaji tena ilogari thus why nikaona ni bara nitafute sehemu ya kusogeza siku wakati natafuta job nieelewe ivyo
 
kwanini usiuze hilo gari na likawa ndiyo capital ya kuanzia biashara unayodhani upo na uzoefu nayo kutokana na degree yako uliyosomea kuliko kutafuta mtu mwingine ukaishi kwakwe next time akikutenda utakuwa unatafuta mwingine au utakuwa unafanyaje sasa?, labda km hilo gari ndiyo kigezo cha kupata huyo mwanamke na si kazi km usemavyo kwakuwa km unagari sasa hela ya mafuta,matengenezo, maengesho pia unapata wapi wakati unadai huna kazi???.
kuwa mbunifu na degree yako km kweli unayo labda km ni ya mtaani na si darasani.

ushauri mzuri bahati mbaya gari lenyewe si aina ya kufanyia taxii,ishu hapa si kupata mwanamke kama unasoma saikolojia vizuri
 
wewe unaonekana unapenda mteremkooo, tumekushtukia, kama unashida na huna kazi gari la nini??? uza gari upate ka mtaji uweze kuishi mjini kwa raha na sio kutafuta mteremko, utafika pabaya kama utaendelea hivyo, si bora wewe unalazwa sebuleni, wapo wenzako wanalala nje...
 
Hii idea haiuzi..
Na huyo binti akimleta mtu wake si utakuja tena kulalamika?
Jisimamie mwenyewe bana..
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo
A man is never ugly!!
 
Huyo bint nae jamaa yake akija si utalala sebuleni uje uanzishe thread nyingine? Lala kwenye gari yako hutabughudhiwa na mtu.

kuna afadhali maana jamaa akiondoka tu anakua ana chake na uyo anaekuja na kuondoka hafai kwa nn asibakia apoa apo
 
hahahahah duh usije ukakutana na mtambo akienda lodge itakulazimu kumsubiri hadi amalize na mjamaa ... yataka moyo
 
hii ni most interesting na kitu kilichonishangaza sana humu jf kwa muda wa 4yrs as guest and 2yrs as member wacha kuangalia join date yangu niko suspended hahahah
 
hii ni oportunity kwa wadada wengi nawaona asubuhi na jioni wanahangaika na madala dala kwaiyo ni kama tunasaidiana namsaidia kwenye hadha ya usafiri na mm ananisaidia makazi
mi ninakaa mwenyewe naogopa kukukaribisha kwa kuhofia utanibaka,
 
Back
Top Bottom