Recent content by Kejuu

  1. K

    Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

    Highly infiltrated. Ndo maana kipindi cha jk kuna jamaa alikuwa kwenye kitengo cha IT jwtz aligundulika na akakimbilia Rwanda.
  2. K

    Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Aachiwe huru yeye kama nani? Watu wote wako chini ya sheria. Acha ifuate mkondo wake. Km ni gaidi itathibitika tu
  3. K

    Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

    Ndiyo maana walimuua, Pastor alikuwa na siri nyingi sana za yule gaidi
  4. K

    Rais wa Zanzibar aagiza Meli zote za Serikali ziuzwe kwa vile hazileti faida

    Wewe jamaa wa ajabu sana, inawezekana over 90% ya mawazo yako huwa unaiwaza ccm, itakujaga kukua bure, be careful.
  5. K

    Afrika kuandika tena historia ya mrithi wa kiti kuangushwa na upinzani baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufariki akiwa madarakani?

    Naona mama amekushika pambaya si bure. Muache mama yetu apige kazi acha kuleta uzi wa kuchawi kama huu.
  6. K

    Yanga bado uswahili na ubabaishaji unatusumbua

    Huku ni kwetu kule ni kwao over! Kila MTU na utamaduni wake mkuu, you can't copy everything, chief.
  7. K

    Njooni tumuombe msamaha Mo kwa yote yaliyotokea

    Hakuna cha kuhujumiwa hapo, issue ilikuwa ni presha ya wachezaji wakikutana na yanga. Utulivu ulikuwa below 50% ndo maana tulikuwa hatuambulii kitu cha maana.
  8. K

    Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Mkuu, Hili la hiari ni la muda tu, tunakoelekea itakuwa ni lazima. Ulisikia jana CNN walimtimua mfanyakazi ambaye hajachanjwa? This is just a beginning, chief. Kejuu
  9. K

    Hela zimesharudi mtaani?

    Ndugu yangu, mwanadamu huwa haridhiki na always hanaga jema. Jifunze kwa safari ya wana waisrael Jangwani, kila walichokuwa wanakitaka, Mungu alkuwa anawapa, lakini mwishoe wakaishia kutengeneza sanamu ya ndama awe mungu wao, chezea mwanadamu wew. Always do the right things, watakukumbuka katika...
  10. K

    Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Jamaa vigeugeu sana hao, tangu waanze kumsafisha Lowasa 2015, wamekwishapoteana hao, mama kazia hapohapo
  11. K

    Nani alipambana na CHADEMA akashinda? Huyu nae akiendelea, hafiki mbali na anaeweza kwenda na kuiacha CHADEMA iko imara

    Hizo ramuli za kitoto tu, ngoja dawa iwaingie, maana mlitaka kumuletea mama zarau, ngoja awanyoshe vizuri
  12. K

    Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Mama aendelee kuwakazia hivi hivi, hawa siyo watu wa kuwachekea, maana ni hatari sana. Akiwachekea, watamwendesha mno. Hawajawahi kuwa wema hata kidogo
  13. K

    Kibao kilivyogeuka

    Hebu mwacheni mama achape kazi. Hivi kuambiwa utanyolewa we unaona ni jambo dogo
  14. K

    Wale walokuwa wanamimina sifa ndo ambao sasa wanalia

    Cdm huwa wanasiasa za kishamba sana, huwezi ukaamka from no where ukaanza kutoa kauli za kukivunjia hadhi kiti cha raisi. Wewe unamwambia raisi utamnyoa, unategemea majibu gani? Baadhi ya viongozi wa cdm, mfano mdude type ndiyo huwa wanaigharimu cdm. Hoja hazijengwi kwa kumtukana raisi.
Back
Top Bottom