Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

M7 aliwekwa madarakani na vita alioianzisha mwenyewe. Na kati ya wapiganaji 27 alioanza nao walikuemo wanyarwanda wengi sana hadi waliposhinda vita. Wanyarwanda walikua wanaongoza kuanzia platuni hadi divijonzi, wakati mseveni akitumia muda mwingi Sweden. Ukumbuke cabinet yake ya kwanza naibu waziri wa ulinzi alikua mnyarwanda pure.

Huku mnyarwandwa Major General Rwigyema akiwa kaimu waziri wa ulinzi wa Uganda ndiye aliyeongoza vita ya kuikamata Uganda wkt huo M7 akiwa Sweden na familia yake,huku Kagame akawa Chief of military Intelligence (CMI).
 
Kwani Ile Operation nchi mzima ilifanya Rwanda waache kuiba madini maliasili za Congo?

Kagame anaibaje kiujanja ujanja wkt wote wawili na M7 walikua na makundi wanayoya support huko Congo waziwazi.Rwanda walikua AFDL,RCD,RCD Goma,M23 tena Congo PK amekua Muda mrefu kuliko hata M7.
Hiyo op ni hapa kwetu baada ya kupishana kimaneno na jk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK alimwambia akaelewane na waasi kwa njia ya mazungumzo. PK hakulipenda kabisa neno hilo na ndio mwanzo wa ugomvi. Lakini pia usisahau jamaa wote wawili ni wanajeshi so inawezekana JK alishtukia hila za PK
Thanks,

KP aliona huyu mswahili anatibua mambo..ni haki yake achukie.
 
Ukiona mtu anafanya urafiki na Kagame, muonee huruma huyo mtu.

Rafiki sana wa PK alikua ni The late Waziri mkuu Zenawi wa Ethiopia.Na hata leo familia yake ina makazi Kigali na mjane na familia nzima wanakua treated ki premier kila mara wakiwa Rwanda.
 
Kwenye suala la PK na JK lazima kuna kitu, JK alinusa! Ndiyo maana alianzisha operation,tokomeza na operation Kimbunga,kule kwenye mapori ya Kagera wanyarwanda walikua wamejaa tele!

Na huu ulikua mtego kwa PK ajibu kwa msela mtoto wa mjini JK,ndiyo Kagame angeona cha moto! PK hakujibu,alikaa zake kimya tu,zaidi yakusema maneno ya kike kwamba JK ni handsome,hawezi pokea ushauri toka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Jk alinuia kufanya nini hasa na hizo operations?..

Msituchoke wengine tuna krismasi moja tu hapa mjini daslam..hivi vitu vilitupita.
 
Wewe ndiyo useme walifata nini! Mimi sijui! Ngoja nitakutafutia hiyo clip! Kagame hawezi ifanya chochote Tanzania! Kipindi kile wanyarwanda wanafukuzwa huko maporini,mbona Kagame hakujibu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahaha weka hapa hio video PK akisema JK ni handsome,ukiiweka najitoa JF.Na ukishindwa kuiweka ushauri wangu ni mmoja tu,acha kuokoteza maneno ya kwenye vijiwe vya gahawa.
 
Museveni ameishi sanaSweden kama muomba uhifadhi wa ukimbizi huku akibeba boksi kama vile levy mwanawasa kama sijakosea ama Michael satta rais wa Zambia naye kabeba boksi sana London railway Station.

Labda huenda na mimi nikawa rais Bongo Nampango wa kuanzisha Green party.

Sky Eclat
Museveni aliiacha familia Sweden alipoanzisha gorilla war na Kagame.
 
Kumbe unahitaji kabisa neno liwe limetamkwa?? Nimekuuliza swali,ni kauli zipi zilikua zinatolewa na viongozi wa Rwanda kwenda kwa JK??

Sent using Jamii Forums mobile app

Kauli za I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You au unaongelea kauli gani tena?

Ndio nilitaka nijue hilo neno la kusema JK ni handsome umelitoa wapi? maana tangu nimeanza kufuatilia hili saga miaka yote sikuwahi kusikia kitu kama hicho,nikajua labda ni video mpya sijawahi kuiona.
 
Back
Top Bottom