Recent content by keisha

  1. K

    Natamani kuoa

    Do it bwana, no nusra kwako na utakayemuoa. Halafu unaepushwa na mengi
  2. K

    Je, naweza kufanya mazoezi bila kupunguza wowowo...?

    Eti... wewe uliyerusha Uzi umesaidika kweli! Maana discussion imehamia Kwenye MBUNYE lol
  3. K

    Kilichonifanya niichukie udsm

    Pole sana. Wewe ni Kichwa na ndo maana ukaleta Uzi huu hapa wadau wakupe mwanga , hayo maneno ya waja yasikurudishe nyuma. Fuatilia kwa karibu , utafanikiwa. Ki ukweli kilichokutokea kingemtokea yeyote asingefurahi. Matusi na kejeli wkt mwingine zinaboa...
  4. K

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Kwa kusema lile la kweli... hapo sababu kuu ni umasikini+ tamaa ya pesa+ tamaa ya ngono+ kuiga+ ujinga. Mtu hawezi kwenda sokoni bila kuwa na bidhaa, sitaki kuwalaumu wanaume ila sisi wanawake ndo wachochezi wa hilo. Na hilo linarithishwa kutoka kizazi hadi kizazi, from mama to binti hakika...
  5. K

    Vibinda Digitali, Wanaume tuwe makini.....!!!!!????

    Mwanaume mwerevu name anayejua nn anafanya sidhani kama ------ kwake ni dili.
  6. K

    Wabunge wa upinzani watoka nje ya bunge kugomea kikao cha muswada wa Katiba

    Wamefanya jambo jema kutaka name wengine washirikishwe
  7. K

    Kenya mmezidi sasa/ made in kenya.

    Duh, kasheshe. Serikali indio imelala, name WAF any a bias hara wake
  8. K

    Mke wa kuoa

    Ila wakiendelea name level za juu name kuamua kuchagua Courses kama za Utawala wanabadilika, MF kuwa wakali, waongeaji, msimamo sana nk
  9. K

    Mke wa kuoa

    With wanawataka waalimu kwakuwa wanatabia hizi. 1. Si waongeaji sana wala Walalamishi. 2. Wengi wao hawana makuu i .e Hawapendi anasa 3. Wengi bado hawajaijua dunia ktk Maisha ya starehe, kwakuwa Walimaliza form four wakaenda Straight chuo na kule ni mwendo Wa...
  10. K

    CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

    Pamoja na kwamba habari hii inaongelea shekhe P chini kwa kirefu, mwanzo ukiisoma haisupport Uzi, kwakuwa Chadema wanatetea maslahi name khaki ya wote, haipendezi kusema wanamtetea Ponda...
  11. K

    mawazo yenu ni muhimu sana kwa hili wana JF

    Soko LA she ria lipo usidanganyike, kuna competition kwenye baa hi ya mikoa na kati ya senior lawyer and young lawyers. Kwahiyo usikate tamaa tafuta elimu mud a na uwezo kama upo. Elimu ni kila kitu.
  12. K

    mawazo yenu ni muhimu sana kwa hili wana JF

    Kama mwanasheria nakushauri, nenda law school, halafu upokee hizo 7 m halafu fungua ofc yako hutakosa laki 2 mpak 1 m kwa cku, kama utafungua Ar au Moshi.
  13. K

    Unyama:mwanamke abakwa na kuchomekwa kisu sehemu za siri huko shinyanga..

    Laana jamani, HV kwann with hawamuogopi Mungu jamani...... aaah saw a tu
Back
Top Bottom