Utafiti usio na viwango unaadaa watanzania, labda kama uliufanyia nchi ya botswana ambapo wafanyakazi wa serikali wako vizuri, tafadhali uasiwe kama mpiga debe ambaye hajui hata ubora wa gari analosifia kwa abiria.
Kwanini alichaguliwa kuwa waziri na hatimaye waziri mkuu inamaana waliomchagua ni wajinga? Acha kutudanganya mbona wajumbe wa halmashaur kuu ya mcc walikuwa wakiimba wanaimani nae?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.