Utata wa taarifa za habari katika television zetu

Utata wa taarifa za habari katika television zetu

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wana jamvi takribani siku chache zimebakia kuhitumishwa kwa kampeni lakini naona taarifa za habari katika channel fulani nashindwa kuelewa picha za mkutano wa siasa za mgombea fulani sio halisi.

Yaani ni tofauti sana na uhalisia juu ya idadi ya watu kwani katika Tv wanaonyesha watu ni wengi lakini kwa uhalisi sio kweli na ni picha ya sehemu nyingine.

Lengo ni kumuonyesha kuwa anaidadi kubwa ya watu na kukubalika sasa hii nashindwa kuielewa nini maana yake mpaka mtu alazimishe kuonekana ana watu wengi?
 
Tatizo lako ni nini? Idadi ya watu kwenye mikutano au watakaopiga kura tarehe 25/10/2015!
 
Wanacheza na akili za watu mkuu, watanzania tuwe makini na mambo haya ili tusipoteze kura zetu.
 
Back
Top Bottom