Regina Lowassa amewapoteza makada maarufu wa CHADEMA?

Regina Lowassa amewapoteza makada maarufu wa CHADEMA?

Aiseee hujui hao wote wanagombea majimboni kwao?
Unataka woangozane na Lowasaa mtumie advamtage
 
Janeth Lowassa ni mtu wa nchi gani?... Msaada tafadhali
 
Kweli akili yako yote inamgwaya lowassa..ati umesema janeth nani?
 
Vipi kuhusu Mama Salma?..Ana kauli kuliko Waziri Mkuu! Jamani yupo wapi PM? Sijamuona mapokezi ya Kigoda, sijamuona Kuzima Mwenge!
 
Watanzania vichwa maji sana! Hatuna uwezo wa kuhoji, na ndo maana tumeweka tumaini letu kwenye siasa, na kwa hili tusitegemee miujiza! Manake hata tukibadilisha uongozi mara 100, unless tuna uwezo wa kuwawajibisha hatutapata positive results
 
Only in Tanzania tunaidharau nafasi ya first lady! Hivi unafikiri Hilary Clinton asingeutumia mwanya wa u-first lady vyema leo angekuwa anawania kuteuliwa kwenye urais wa USA kupitia Democratic party? Usishangae miaka ya mbele kumuona Michelle naye akiingia siasani. Go Regina, unaitendea haki nafasi hiyo.
 
Only in Tanzania tunaidharau nafasibya first lady! Hivi unafikiri Hilary Clinton asingeutumia mwanya wa u-first lady vyema leo angekuwa anawania kuteuliwa kwenye urais wa USA kupitia Democratic party? Usishangae miaka ya mbele kumuona Michelle naye akiingia siasani. Go Regina, unaitendea haki nafasi hiyo.
Hilary clinton alianza uwanasiasa lini?
 
Nimemsikiliza huyu magufuli eti aliongea na kigoda wakati anapelekwa ICU kweli?mtu uko mahututi unawezaje kutumia simu na kutuma email? sijui ni kufilisika au!!""!

Hata mimi limenishangaza maana nilikuwa nadhani mgonjwa kama yuko mahututi ndo anapelekwa icu sasa huyu mh. Aliongeaje na mgonjwa wa aina hiyo
 
Mkuu Jinga, Wala hujakosea, Janeth ni kipenzi cha mabadiliko,
CHADEMA waelewe'

Huyu mama kachoka na mfumo dume na ubabe na michepuko nyumbani mwake. Ndio hadi leo anaona haya kujitabanaisha na mumewe!
 
watu wako majimboni wewe kuomba kura ulitaka wafanye nini kama sio kukaa mjimboni waombe kura?
 
Ulietoa mada akili zako ndogo ka sisimz kwa hyo unataka kutuambia nn wana mabadlko
 
Sasa naona Regina Lowassa amekuwa maarufu kuliko CHADEMA! Hawa ni baadhi ya makamanda waliofunikwa na Mama Regina;

Mwenyekiti

Tundu lissu

Mnyika

Mwalimu

Kagaila

Mdee

Wenje

Lema

Kigaila

Patrobas

Msigwa

Wengine nitaongezea...!

NGOMA YA KITOTO MWISHO SAA KUMI NA MBILI.


Unataka umuone kila mtu kwenye tv?
 
CCM Mlipenda kuzungumzia maisha binafsi ya wagombe twende kwa makomeo mke wake yuko wapi? Mbona hatumuoni? Unafanya mchezo kuzaa na mdogo mtu.
 
Back
Top Bottom