Unajichanganya Mwenyewe Tu
Nyie walimu utadhani nyie ndio watumishi pekee dunuani
Kwani Kuna Sheria Inayolimit Kua Lazima Kuongeza Mishahara Ni Tarehe Hizo Tuuu?Ama Tumekariri
Atafanya hivyo kwa bajeti gani? Tumeshuhudia walimu wakuu wakipokea wageni wa mtihani wa taifa kwa fedha zao.Walimu tuna madeni kibao,nyongeza watoe wapi? Pia ni kweli tumekariri kwa kuwa haijawahi tokea kipindi kama hiki kuongezwa mshahara.
Mimi na wlm wengine wa ngazi yangu tunakatwa P.A.Y.E 15.7% ,kama wana nia njema wapunguze hiyo kodi ya mshahara(P.A.Y.E)
Leo Star Tv Walikua Wanaonyesha Kampeni Za Tinga Tinga Na Akasema Akiingia Madarakani Kodi Itapunguzwa Kwa Watumishi Wote

madaraja vp mbona hatupandishwi?
Atafanya hivyo kwa bajeti gani? Tumeshuhudia walimu wakuu wakipokea wageni wa mtihani wa taifa kwa fedha zao.Walimu tuna madeni kibao,nyongeza watoe wapi? Pia ni kweli tumekariri kwa kuwa haijawahi tokea kipindi kama hiki kuongezwa mshahara.
Mimi na wlm wengine wa ngazi yangu tunakatwa P.A.Y.E 15.7% ,kama wana nia njema wapunguze hiyo kodi ya mshahara(P.A.Y.E)
Atafanya hivyo kwa bajeti gani? Tumeshuhudia walimu wakuu wakipokea wageni wa mtihani wa taifa kwa fedha zao.Walimu tuna madeni kibao,nyongeza watoe wapi? Pia ni kweli tumekariri kwa kuwa haijawahi tokea kipindi kama hiki kuongezwa mshahara.
Mimi na wlm wengine wa ngazi yangu tunakatwa P.A.Y.E 15.7% ,kama wana nia njema wapunguze hiyo kodi ya mshahara(P.A.Y.E)
2010 wakati tunakaribia uchaguzi kama sasa hivi waliongeza mishahara.
Una Uhakika Kua Jamaa Anakaa Manzese Au Viroba
Inamaana hujui issue ya mshahara ni issue ya kibajeti? ina maana mwezi huu kuna bunge jingine la bajeti?Kuna Tetesi Kua Mishahara Ya Walimu Itaongezwa Mwezi Huu Na JK.Je Wadau Kuna Ukweli??