Nilisubiria kwa hamu je Magufuli atawanadi Tibaijuka, Chenge

Katika watakaotinga mahakamani lowasa atakuwa namba moja na kama aliamrishwa kutii amri haramu itabidi wahusika wote wafungwe mashati. Awamu ya tano hatutaangalia sura ya mtu. Sisi ni kazi tu. Tutahakikisha serikali safi kabisa, tunasema kweli, kweli kabisa na Mungu atamlinda rais J.P. Magufuli dhidi ya mafisadi papa na maadui wote wa roho na mwili. Amen.

mabadiliko kwanza kazi baadae,magufuli Ni Kuwait Tu kwa saddam
 
J.P.Magufuli alihadi kwa kejeli akijaita majizi yote kupelekwa mahakamani pindi atakapokuwa rais leo nimeshuhudia akipigia debe watu waliojigawia mabilioni ya shilingi na kuyaita ela za mboga

my take:magufuli ni muongo sana anayekumbatia mafisadi kamwe hawezi lolote
Mkuu hujawaelewa tu CCM ndo zao kuja kuomba kura makono nyuma wakishapata kura makono mbele.
 
J.P.Magufuli alihadi kwa kejeli akijaita majizi yote kupelekwa mahakamani pindi atakapokuwa rais leo nimeshuhudia akipigia debe watu waliojigawia mabilioni ya shilingi na kuyaita ela za mboga

my take:magufuli ni muongo sana anayekumbatia mafisadi kamwe hawezi lolote

Magufuli ni pimbii ndio sifa iliyomweka kuwa chaguo la ccm..atakuwa remote controled na out goes mafisadi system ya ccm.subiri at last itabidi ajitambulishe kama uncontrolled robot..mark my word .
 
Msiandikie mate wakati wino upo, andaeni vichinjio vyenu tarehe 25.10.15 yaja, majibu tutayapata.
 
Back
Top Bottom