Recent content by Kefaville

  1. Kefaville

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Mizinguo sana huyu dingi
  2. Kefaville

    Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Nimeishia hapo tu kwa lissu kua ni mwanasheria asiejua sheria, mbona anawapiga china kila kukicha mawakili wa tawala?
  3. Kefaville

    Fedha 'zilizofichwa' zitarudishwaje kwenye mzunguko? Wataalamu wa uchumi tiririkeni

    Na ndio maana Forbes wanaupima utajiri wa MO kwa dolari na sio TSh? Pesa zake kwenye akaunt ambazo forbes wanapata taarfa zake ziko in $
  4. Kefaville

    Sasa masomo ya sayansi lazima sekondari, utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena

    Mtakuja kutupa watoto wenye msongo wa mawazo aisee daaah Mimi nadhani subject specialization ingeanzia tokea darasa la tano au la sita huko mwanafunzi asome masomo anayoweza tu yasizidi matatu mpaka atakapofika elimu ya juu huko idadi ya masomo inaenda inapungua, itatusaidia sana kua na elimu...
  5. Kefaville

    Dalili nyingine kuwa upinzani wa kweli umekufa ni hii hapa...!

    Mange sio mpinzani ni mfisiem kabisa
  6. Kefaville

    Camon C8 inasoma E

    Nenda kwenye setting, kisha tafuta kitu kimeandikwa about phone ukibonyeza hyo utaona kitu kimeandkwa update systeam then fuata maelekezo yote baadae ukisha update simu itazma ikiwaka nenda kwenye hyo update tena utaona kuna update mpya za setting za 2g au 3g au zote kwa pamoja
  7. Kefaville

    Kwa hili la Stand Utd Hongera Nape

    Ila mko kwenye nafasi mbaya kwanini ilhal mna udhamn mnono kabisa na kocha mzuri tu
  8. Kefaville

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Nimesoa kitabu kimoja tu mpaoa sasa kwa mwaka huu nimeanza kukisoma kuanzia mwez wa kum na moja kinaitwa TOUGH TIMES NEVER LAST BUT TOUGH PEOPL DO kimeandikwa na Dr Robert H. Schuller
  9. Kefaville

    Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

    Ata mm ningekua karbu ningempa nakoz za kutosha tu polisccm yule
  10. Kefaville

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Mwili wake umepita sasa hivi hapa sengerema unaelekea mwanza,
  11. Kefaville

    DSTV wanapoamua kuwa wababe, namna gani naweza kupata king'amuzi cha Bein sports

    Mimi ni mteja wa king'amuzi cha DStv toka mwaka 2013, nimekua mteja wao wa kifurushi cha compact plus mpaka leo, ambapo malipo niliyokua nayafanya yaliniwezesha kuangalia ligi ya England kuptia super sport 3 na Super sport 7. Ambapo compact plus malipo yake kabla ya July 2015 yalikua 113000 kwa...
  12. Kefaville

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Tamesco kwetu wamekata umeme toka asubuhi aisee, na saa tisa ndio hii haujawaka bado
Back
Top Bottom