Kwa hili la Stand Utd Hongera Nape

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,224
Hongera wazir wa michezo kwa kuirudisha timu ya Stand utd, chama la wana!! kwa viongozi na wamiliki halali wa timu. Baada ya udhamini wa Acacia iliibuka kamati ya uongozi illiyowekwa na mkuu wa mkoa, wakatubadilishia na jezi ma nembo.... Sasa timu imerudi nyumbani
 
....muihudumie sasa,mishahara ya wachezaji ndio muhimu zaidi,vinginevyo hiyo timu itashuka daraja mikononi mwenu!
 
Mishahara analipa Acacia!! Tumeipandisha tukiwa tunachangishana buku mbili mbili tukaibakiza kwenye ligi!! Halafu eti ije kutushinda wakati tuna sponsor?? Hapa Nape kafanya la maana
 
Uongozi wa magumashi unasababisha !! Usajili mmbovu kocha yule hata Minziro afadhali!! Sasa chama la wana ni linarudi kwa speed ya jet
 
Back
Top Bottom