Yawezekana eneo ulilopo 3G ni tatizo ndio maana kuna muda inasoma kwa tabu...Mkuu Mkwawa hiyo neno only halipo kuna 3g na 2g nimechagua 3g lakini tatizo bado
hapo itabidi uforce kwa njia nyengine ila ni risk kidogo unaweza gusa vitu vyengine ikawa balaa upo tayari?Mkuu Mkwawa hiyo neno only halipo kuna 3g na 2g nimechagua 3g lakini tatizo bado
Nenda kwenye setting, kisha tafuta kitu kimeandikwa about phone ukibonyeza hyo utaona kitu kimeandkwa update systeam then fuata maelekezo yote baadae ukisha update simu itazma ikiwaka nenda kwenye hyo update tena utaona kuna update mpya za setting za 2g au 3g au zote kwa pamoja
Nipo tayari Mkwawa
Mkuu Mkwawa, simu yangu Techno C8,haisomi H+, unaweza kunisaidia nini cha kufanya? Ahsante.cheki hii ussd kama itafanya kazi kwako
*#*#4636#*#*
then nenda phone information halafu utaona sehemu kuna network nyingi chagua 3g/wcdma only
unapata speed gani? sababu inaweza isiandike h+ lakini ukawa unapata speed ya h+.Mkuu Mkwawa, simu yangu Techno C8,haisomi H+, unaweza kunisaidia nini cha kufanya? Ahsante.
Napata 3G mkuu. Ok, nikisha download hiyo speed test nafanyaje?unapata speed gani? sababu inaweza isiandike h+ lakini ukawa unapata speed ya h+.
download speedtest toka playstore angalia speed yako.
Napata 3G mkuu. Ok, nikisha download hiyo speed test nafanyaje?unapata speed gani? sababu inaweza isiandike h+ lakini ukawa unapata speed ya h+.
download speedtest toka playstore angalia speed yako.