Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

Akili za chadema wakati mwingine zinashangaza.haiwezekani kulazimisha gari zaidi ya 100 na boda boda ziingie eneo la mochwari eti kusindikiza maiti.
Kwani wangepaki nje ingekuaje.wanywa viroba wakiongozwa na katambi wapewe adhabu kali sana kwa kujeruhi yule mlinzi wa usalama ili iwe funzo.

Gari zote na pikipiki zilipaki nje (parking) na marehemu alishakabidhiwa ilitakiwa tu BUSARA ZA KUWAOMBA WATU WATAWANYIKE si kipiga mabomu kama 20 hospitalini
 
Kwanza huyu Rehema sijui Lema kwanini hakamatwi na kufunguliwa mashitaka. Yeye ndio huwarubuni vijana kuanzisha vurugu za kisiasa, wazee wa Arusha wanalalamika watoto wao wamekuwa wanywa viroba, wavuta bangi na wala mirungi...wanatumika kwenye vurugu za kiasasa. Mbunge katika kipindi chake ameshindwa hata kubuni kitu kwa vijana wa Arusha kuleta maendeleo katika mkoa wao!
Wewe baba yako ni mlevi, mama yako mlevi Dada zako wabwia unga na ni machangudoa je ni Lema amewafanya wawe hivyo?
 
kwel mleta thread ww ni lofa hakuna wahuni cdm coz cdm ni chama kama vyama vingine ila kutokana na akili yako ndogo umewaona wenzio ni wahuni acha upuuzi na dharau
 
Haujui nn unachokiongea,ina maana hyo mwanachadema alouliwa co chochote kwako, kama kweli unapenda amani kwa nn hukulaani kitendo hicho cha green guard ,ww ni mpofu na haufai katika dunia hii

kwa mjibu wa kamanda wa polisi geita, wanne wamekamatwa na upelelezi na msako unaendelea. huyo askari waliyekuwa wamemteka na kumshambulia ndiye aliyekuwa amesindikiza mwili toka geita hadi mwanza. unafikisha mwili hospital, wanambadilikia na kutaka kumwua.

kwani wkt mawazo anauwawa, askari huyo alikuwepo? kosa lake ni nini? chadema wacheni bangi mbafu zenu
 
Askari ndiyo walikuwa na makosa watu wamekuja kuhifadhi maiti, sasa kosa la askari ni kuwaambia wafuasi wa Chadema waondoke ili wao polisi waendelee na uchunguzi, kama walijua hiyo maiti inatakiwa kuchunguzwa kwa nini hawakwenda Kule kijijini kwenda kumchunguza, labda watasema kule hakuna vifaa sawa walishindwa nini wasisubiri siku ile wafuasi wa ukawa wamalize wao waje kesho yake waendelee na mambo Yao?

kuna mambo mengine ni ujinga kuyasikiliza. hivi kwa nini amepelekwa mwanza? Geita haina madaktari wa kufanya Post mortem? kuja logic gani ya kuja mwanza kama sio ujinga ni nini? au bugando ndo watarejesha uhai wake?
 
Bora mabomu kuliko wangetembeza mikono na virungu wahuni wa chadema wangelazwa wote hapo Bugando

Thubutu, hao askari wanaotegemea kung'ata watamlaza nani hospitali?
 
inasikitisha sana staili iliyotumiwa na hawa polisi uchwara ati wanatuliza vurugu ili wapole simu wakati watu wakiwa wamechanganyikiwa wengine hufanya kutuliza ghasia ndo chanzo cha mali hata kama hakuna vurugu hawa askari uchwara wao ndy chanzo cha vurugu ili wanufaike naomba mungu awafadhili vita wakome
 
Wewe baba yako ni mlevi, mama yako mlevi Dada zako wabwia unga na ni machangudoa je ni Lema amewafanya wawe hivyo?

Mimi sina baba, sina mama wala sina dada. Majibu ya maswali yako kamuulize mama yako kwasababu ndio anayetembea na Lema.
 
Unajua wewe ni mjinga. Na mbaya zaidi unajua kuwa wewe mjinga lakini unataka kupotosha watu ni mjuaji. Hivi hao watu wa chadema wanaouwa kila siku sio watu. Unataka chadema wawe kama kondoo wawe wanauwa tu na watulie kimya. CCM mnachokitaka mtakipata siku moja.
 
Kwanza huyu Rehema sijui Lema kwanini hakamatwi na kufunguliwa mashitaka. Yeye ndio huwarubuni vijana kuanzisha vurugu za kisiasa, wazee wa Arusha wanalalamika watoto wao wamekuwa wanywa viroba, wavuta bangi na wala mirungi...wanatumika kwenye vurugu za kiasasa. Mbunge katika kipindi chake ameshindwa hata kubuni kitu kwa vijana wa Arusha kuleta maendeleo katika mkoa wao!

Tulia wewe Lema ndo kiboko yenu. Mmezidi kuwajengea watanzania uoga hata kwenye uhai wao. Watu dizaini ya Lema ndo anafaa kudeal na nyie. Mnaiba mali za watanzania sasa mmehamia kwenye uhai wao. Nyaambafu nyie
 
Tangu lini ulikuta askari mochwari anatoa msaada??!!Tumia akili kabla hujasema jambo,huku JF kuna watu wengi wenye uwezo wa kufikiria.Hawaendeshwi na khanga ,vitenge,vilemba wala madela
 
Bora mabomu kuliko wangetembeza mikono na virungu wahuni wa chadema wangelazwa wote hapo Bugando
Kwa maoni yangu naona heri wanagetembeza mkono kuliko kuleta vishindo vya mabomu maeneo ambayo yanatakiwa kuwa tulivu kwa kuwa kuna wagonjwa wa aina mbalimbali za magonjwa wanatibiwa. Naunga mkono kuwadhibiti wafuasi wa CHADEMA lakini nalaani matumizi ya milipuko maeneo ya Hospitali. Lazima kuwepo na tofauti kati ya walinzi wa mali na uhai wa raia na wale wahalifu.
 
Kwa hiyo ulitaka askari aliyekuwa anapigwa na wahuni kwa kushawishiwa na muhuni mwenzao naye afariki??? Vijana wake up mnatumiwa na manakubali kutumiwam CHADEMA ni chama cha vurugu. Thanks God hakikushinda hovyo kabisa!

ccm chama cha majambazi,amka baba rizi kashakomba vyake we umebaki kuwa mpambe
 
Huo si uungwana kabisa,kitendo kilichofanywa na wafuasi wa chadema ni cha kulaaniwa si kukishabikia,kwanza gari lililobeba mwili wa marehemu lilipofika maeneo ya Nata wafuasi wa chadema waliamua kulishusha jeneza kutoka kwenye gari na kubeba mabegani kuelekea bugando hospitali umbali wa zaidi ya mita 300,kumbuka barabara hiyo inatumiwa na watu wengine pia lkn wakawa ni wao wameijaza yote hakuna magari mengine yanapita,ole wake bodaboda apite maeneo hayo ilikuwa ni kushushiwa kipigo eti kwa nini anapita hajui nani kafa..!! hakuna mtu anafurahia kifo cha mwenzie lkn pia si kila mtu anamjua huyo mawazo na ht kama anamjua huwezi kumlazimisha ajisikie simanzi kama uliyonayo wewe,baada ya hapo Nata ndo wafuasi hao wahuni wakaenda kuendeleza uhuni wao huko hospitali,hapo mlitaka polisi wafanye kitu gani tofauti na walichokifanya?
 
Huo si uungwana kabisa,kitendo kilichofanywa na wafuasi wa chadema ni cha kulaaniwa si kukishabikia,kwanza gari lililobeba mwili wa marehemu lilipofika maeneo ya Nata wafuasi wa chadema waliamua kulishusha jeneza kutoka kwenye gari na kubeba mabegani kuelekea bugando hospitali umbali wa zaidi ya mita 300,kumbuka barabara hiyo inatumiwa na watu wengine pia lkn wakawa ni wao wameijaza yote hakuna magari mengine yanapita,ole wake bodaboda apite maeneo hayo ilikuwa ni kushushiwa kipigo eti kwa nini anapita hajui nani kafa..!! hakuna mtu anafurahia kifo cha mwenzie lkn pia si kila mtu anamjua huyo mawazo na ht kama anamjua huwezi kumlazimisha ajisikie simanzi kama uliyonayo wewe,baada ya hapo Nata ndo wafuasi hao wahuni wakaenda kuendeleza uhuni wao huko hospitali,hapo mlitaka polisi wafanye kitu gani tofauti na walichokifanya?

Sijaona ubaya kama walikuwa wanaenda kwa AMANI bila kumbughudhi mtu.Kuna wakati haitakiwi kuongeza hasira juu ya hasira,busara ingetumika kidogo tu wala kusingekuwa na tatizo.

Kuna wakati Polisi hawatumii BUSARA na HEKIMA.Sioni shida,miguu yao na wamekubali kubebea mwili wa mwenzao,hakika sioni shida.Naona zaidi ni CHUKI imetujaa kwenye vifua vyetu kuliko BUSARA na HEKIMA
 
Peter Dafi,Hakika kuwa mkweli kwa nafsi yako,hivi ni nani analeta MACHAFUKO,ni hawa wanyeuchungu wa mwenzao kuuawa kama Mnyama,tena mnyama mwenyewe nguruwe pori aliyekutwa anakula mazao???

Ukiwa mkweli utalikemea kwanza hilo.Kama vijana wa CCM wasingekubali kufanya kama walivyoambiwa wafanye na waliowatuma leo vijana hawa wa CDM wasingekuwepo Bugando hospital.

Peter Dafi,usiwe mwepesi wa kusahau kwamba huyu kijana amuawa kikatili kuliko mnyama! Nahakua na hatia,akidhani anaepusha ugomvi aondoke eneo la tukio kumbe ameenda kutafuta kifo chake mwenyewe.

Napenda kuwa mkweli,mauaji si mazuri
 
Tatizo watu wanajifanya kutumia gia za kifedhuli kutafuta umaarufu wa kisiasa,likitokea jambo lolote hasa vifo kuna taratibu zake za kufuata,ndugu,jamaa wa marehemu,daktari pamoja na askari polisi,maiti atachunguzwa kitaalamu kujua nini hasa kimesababisha kifo chake,uchunguzi huu hufanyika mbele ya shahidi wa ndugu na baada ya hapo mwili hukabidhiwa wahusika kwa maziko,sioni mantiki ya kundi kuubwa kwenda mochwali kuupeleka mwili huo kwa ajili ya hifadhi,kumshambulia askari conection yake ikoje,na ili iweje,au kuuambia nini ulimwengu.Kuna mfano wa wazi,kipindi cha kampeni kiongozi mmoja aliwajeruhi wenzake kwa sime,akakamatwa na kufikishwa kituoni kwa hatua zaidi za kisheria,mgombea akakusanya wafuasi na kwenda kituoni kwenda KUMCHUKUA MTU WAO KWA NGUVU,polisi wakazuia ule umati lkn mgombea akawa anashinikiza ikabidi mabomu ya machozi yatumike na watu wengi kukamatwa,mwanasiasa kafikishwa mahakamani kapewa dhamana baada ya hapo anaitisha Press Conference na kulaumu Jeshi la Polisi,bahati mbaya sana Waandishi wa habari hawahoji maswali kujua chanzo ni nini,na Utawala wa Sheria jinsi unavyofanya kazi.Ktk hili la Bugando halihitaji darubini ya kujua nani anapaswa kubeba LAWAM.
 
umetoa maelezo mazuri, Lakini Unatoa Sikitiko lolote kilichotokea Geita kwa Kuuwawa kwa Alphons Mawazo. Sikitiko lako umelitoa kwa kupigwa Askari tu. Daaa Umenianguaha hapo.
 
Jipange tena zaidi kwa kutafakari kwa makini.
Tunaamini kwamba FFU wengi ni vijana wenye uwezo wa kufanya self defence kwa kutumia mikono tu na miguu. Walikua na uwezo wa kuingia katikati ya wale vijana kwa kuwatumia virungu tu na kuwasukuma na kumuokoa mwenzao.
Walikua na uwezo wa kutumia karete na judo tu na kumwokoa mwenzao.
Hata ukiangalia kwenye video wale vijana walikua wanamfukuza tu yule askari na miongoni mwo walikua wanawazuia wenzao wasimpige yule askari.
Pia wale hawakua wamekusanyika pale kwa ajili ya kufanya fujo na hawakua hata na silaha hata mawe.

Pia hakuna mtu aliyepinga matumizi ya nguvu kumwokoa yule askari asidhuriwe bali watu walichokosoa ni matumizi ya silaha zenye milipuko mikubwa na moshi mkali kwenye eneo kama la hospitali ambapo kuna maelfu ya watu wasioweza hata kukimbia.
Hebu fikiri tu hata kidogo kuwa endapo bomu moja lingepiga waya wa umeme na kuukata na kusababisha shot ya umeme madhara yake yangekuaje?

Aliyekua anaongoza kile kikosi amekosa akili na busara kabisa .
Ajifunze na siku kupitia kukosolewa na wananchi wenye elimu mbalimbali sio kuja na porojo za ubishi siku ikitokea madhara makubwa kila mtu atamruka na kumwona mwehu wakati ana askari wenye uwezo mkubwa wa kutumia virungu mikanda,mateke na ngumi juu.
Mbona wanajeshi wanaingiaga mitaani na kutwanga watu wanapoona mwenzao amezingirwa bila kutumia silaha.
Judo na kareti kwenye vyuo vya kijeshi zinafundishwa kwa wakati na matukio kama yale ya Bugando.

Kama na wewe mleta mada unaakili hata ya kutambua chakula hebu jiulize ingekua ni eneo lenye mitambo ya umeme wa gesi askari wangepiga mabomo kwa watu waliobeba maiti tu? Aibu kubwa!!!

Nguvu iliyotumika ni ndogo kuliko zote na ina madhara kidogo kuliko hiyo unayoizungumzia.

Unazungumzia madhara kwa wagonjwa but ingetumika unayoisema kwa kigezo cha kumuokoa mwenzao ffu wangeua watu+madhara kwa wagonjwa.

Ifike wakati kama vijana tushauriane mambo ya kujenga si upuunzi kama walioufanya vijana wa cdm jana.
 
Back
Top Bottom