Recent content by KEFA ODAO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono mapinduzi ya Burundi, Jeshi lisilaumiwe

    Ndiyo... Rais wa Burundi, Piere Nkurunzinza amejikuta katika sintofahamu baada ya taarifa ya kupinduliwa kwake akiwa kwenye kikao nchini Tanzania. Nawataka, viongozi wengine wenye tabia za kung'ang'ania madaraka mwonyane mapema na kusoma alama za nyakati kabla hayajawakuta madhila kama hayo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

    Pande mbili za sambamba trapeza !? kwanza ni mara yangu ya kwanza kusikia jina la umbo hili "sambamba trapeza"! kwa umbo kama hili najua tu utanichukulia kuwa sijui maana sitajaribu kulijibu. Labda ulisuke upya kisha ulilete tena.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu Tetesi ya kuwepo mgonjwa wa Ebola Sengerema, Mwanza

    KWA KWELI, KAMA KWELI GONJWA HILI LIMEFIKA MWANZA, BASI HUKU KWETU TUKO HATARINI SANA. EE MUNGU MWENYEZI, UTUNUSURU NA HILI. :flame:
  4. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Rafiki yangu ni mwl. sekondari wilayani Tarime. Anataka ahamie BUNDA. Kama uko tayari uni pm. Au piga 0767278100 (KEFA)
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kujiunga ualimu grade A 2014

    hilo bado linasubiriwa na wengi kutokana na mabadiliko ya madaraja mapya ya ufaulu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    hivi kama mtu mwenyewe hawezi kujitambua na kujiheshimu, ni nani atakayemheshimu yeye? jamani dada zangu,mnapendeza sana hata msipoyabana makalio, hips na hizo nyonyo! mi nadhani mjiheshimu nanyi mtaheshimika tu. vinginevo mkashawishi wajumbe wa bunge la katiba wapitishe katiba itakayoruhusu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lugha sahihi

    Neno lililosahihi ni MAITI HII. Kwa sababu, thamani ya binadamu inatoweka anapofariki. Maiti haina tena umuhimu wala msaada kwa watu wazima. (Mf. takataka hii)
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vazi La taifa & kitambulisho cha Uraia

    Pole kaka! yuleyule alekuwepo kwenye wizara ya vazi la taifa akiwa bado ktk ukusanyaji maoni alihamishiwa kwenye wizara ya vitambulisho vya taifa. Lkn hata kabla ya zoezi la vitambulisho kukamilika akaondolewa kwa nguvu ya operation tokomeza ujangili. Chezea matokeo makubwa sasa !
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2014

    mbona tayari yamebandikwa huku kwetu!
  10. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wewe Mbiirwa, acha utani, watu tuko serious bhana! njoo Tarime nami nije hapo ilala!
  11. K

    JamiiForums Tanzania I need a guy

    Nipo....nina qualities ulizosema. pse PM
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliwahi Kujaribu Kujiua Kwa ajili yangu! Na Sikumuoa Mimi..

    Haya mambo huwa yako hivyo. Pengine ipo siku atalazimisha kuusitisha mkataba wa ndoa na kukushawishi muishi pamoja. Je, una ubavu wa kukataa?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akizushiwa uongo afanyeje?

    kusanya vielelezo kuntu, halafu uvitumie kama ushahidi mahakamani. namaanisha kuwa, ufungue kesi ya madai ya fidia ya kuchafuliwa jina/sifa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahii kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kujiuza

    hivi wewe Chikwa, ELIMU ZENU ndo kiswahili cha huko kwenu au cha watanzania wajao kesho? lo!
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

    Mmmh! , Hongera sana.... we ni miongoni mwa wanaume wachache sana wenye moyo wa uvumilivu wenye tija kwa wengine. :)
Back
Top Bottom