Vazi La taifa & kitambulisho cha Uraia

Vazi La taifa & kitambulisho cha Uraia

Jamani ningependa kujua michakato hiyo imefikia wapi?

Pole kaka! yuleyule alekuwepo kwenye wizara ya vazi la taifa akiwa bado ktk ukusanyaji maoni alihamishiwa kwenye wizara ya vitambulisho vya taifa. Lkn hata kabla ya zoezi la vitambulisho kukamilika akaondolewa kwa nguvu ya operation tokomeza ujangili. Chezea matokeo makubwa sasa !
 
Back
Top Bottom