Recent content by keen salva

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Brain programming

    asante kwa maarifa.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kutengeneza website na App kama JamiiForums

    tuwasiliane 0685034245 nina hiyo software bulletn ya forum Xenforo inayotumika na jamii forum pia naweza kukusaidia muongozo wa server, installation na hata UI-design.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Best web hosting service

    ila zipo official campany zinafanya bila utapeli tatizo letu pia wa Tz tunapenda vitu rahisi rahisi na simple kama kudili na mtu mmoja au person lazima upigwe tu.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Best web hosting service

    Mbona sioni hosting kutoka tanzania au Tz hatuna hosting providers naona tu bluehost na wengine??????
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kutengeneza Website anatakiwa

    Karibu tukutengeneze kama bado unahitaji
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta website developer

    From my Experience SSL ni Case sensitive sana kwenye website or domain, but ur site/domain haina how could you provide it for me?
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta website developer

    One thing Nilichogundua pia, Wanasema Free SSL, But their domain haina hiyo SSL :):)????
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu ICT project for final year

    Duh!!
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale watabe wa ku develop tepmlate za website na blogger

    Hazina shida, kama kuna link unahitaji kutoa naweza kusaidia, nime develop mwenyewe, pia unaweza nipatia requerement zako nika kufanyia from scratch
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale watabe wa ku develop tepmlate za website na blogger

    Angalia Sample hapa Mjasiriamali Desk | Get Connection & Share Knowledge pia siuzi, kama umevutiwa nazo unaweza kuzidownload for free, nitakupatia tu support utakapokwama.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale watabe wa ku develop tepmlate za website na blogger

    Unahitaji ya Word press, Blogger or Ya website ya Kawaida.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale watabe wa ku develop tepmlate za website na blogger

    Habari zenu wakuu wa jukaa, kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, kwa wale wenye utaalamu na muda wa kutosha ku-design Templates za website, blogger na hata Wordpress na kuziuza au kuzitoa for free ni muda wao sasa, Mjasiriamali Desk inatoa fursa hii kwa wote wanaovutiwa na kutoa ujuzi wao...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama za kutegengeza website yenye sifa hizi ni ipi

    Clearly.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Digital products market place

    Habari wakuu, na wataalamu wa Technologia wa JamiiForums Napenda kuchukua nafasi kuwataarifu wale watembeleaji na wanachama wa Mjasiriamali Desk kua tumeongeza features mpya ya utumiaji wa mtandao wa Mjasiriamali desk ambayo ni Resources place, Huduma hii itakuwezesha kupakia & Kupakua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali na wafanyabiashara Mjasiriamali Desk

    Habari wana jamii forums, Napenda kuwataarifu kuwa kwa wale wanaotembelea jukwaa la Mjasiriamali Desk, wanachama/wasio wanachama sasa wanaweza kutembelea jukwa hilo kwa urahisi sana kupitia simu za mkononi, japo tupo kwenye hatua za mwisho kuwezesha rasmi jukwaa hili la masiriamali Desk...
Back
Top Bottom