Msaada kutengeneza website na App kama JamiiForums

Kutengeneza Apps Kama Jamiiforums Unatakiwa Kuwa Umesomea IT Uwe Umesomea Codes Zifuatazo
Code:
html, Php ,  Css Javascript Nk
Ila Mimi Nimesomea Kdg Html Na Css Ninauwezo Wa Kudesign Web Application Vzr2 Kama Unahitaji Design Nipo
mi na ajiri tu kwa freelance anatengeneza tena nzuri balaa maana wa bongo siamini
 
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa gharama za makadirio za kutengeza website kama ya Jamiiforum na gharama kadirishi za kutengeneza app kama ya JF.

Je wanapataje kipato ukitoa matangazo na user verification?

Je ili google playstore wailipe app inabidi ifikishe downloads ngapi?

Asanteni
tuwasiliane 0685034245 nina hiyo software bulletn ya forum Xenforo inayotumika na jamii forum pia naweza kukusaidia muongozo wa server, installation na hata UI-design.
 
ipo hivi.... kuwa na forums nzuri zaidi ya JF ni rahisi sana, ila kupata kipato kama JF ni safari ya miaka zaidi ya ishirini(20).. zaidi ya 99% ya forums zilizoanzishwa kwa kufuata mkumbo wa JF zilikufa... JF kwenye search engine ipo vizuri sana na ndio kinachoibeba... kuwa na forums si chochote cha msingi ni page views(watembeleaji).. kuna site za hovyo ukiziangalia utakimbia ila zinaingiza page views zaidi ya 200,000 per day earning over 15,000$ per month..
((USHAURI))
Kabla ya kuanzisha hiyo forums jifunze jinsi ya kutafuta traffic kubwa, usipofanya hivyo utapoteza pesa yako bure, utakua na forum nzuri ila kipato kitakua less than 5$ per month....mark my comment..
 
Traffic ni nini? mkuu
 
Back
Top Bottom