ukabu
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 212
- 68
Habari wakuu nataka kuanzisha website ambayo ina mwonekano mzuri yan texture iliyosimama kama ya wasafi.com
Halafu iwe na interphace ya user to registration, log in ,log out, pia iwe na interface ya private chat kwa user na Admin.
So nauliza Kampuni gani wanaweza kufanya kazi hii isiwe mtu mwanafunzi wa it halaf unasema unaeza kumbe huwez maana hao nimekumbana nao wengi..
Kama ni MTU binafsi halafu competent na kuna kazi ulizofanya Karibu tuyajenge...
Na utaje na gharama kabisa sio unakua kama Fundi ujenzi...