Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 453
- 376
Akili ya binadamu ndiyo computer kubwa na imara kuliko computer yeyote unayoijua; wanadamu sasa tunatengeteza roborts kwa technologia ya Artificial Intelligence
- Akili ya binadamu kama computer inaweza fanyiwa programming; na wanaojua siri hii ni wachache sana, ndio maana Holly wood kila movie wanayo toa huwa na lengo flani kubadilisha fikra za watu hata media pia ndio maana leo hii ukisikia kuwa Kuna ugunduzi wa kisayansi mkubwa umefanywa haraka haraka unajua ni caucasion kagundua au myahudi; ukisikia drug dealers unahisi ni wa mexico, gaidi ni watu kutoka middle east:
Hizo ni programming na brain washing.
Milango inayofanya akili yako ibadilike positive au negative ni hii
1.Macho yanachoona hupeleka akilini
2.Unachosikia pia kina program akili yako
3.Unachoongea pia kinaeza kuku program pia.
Mfano kuna aina ya vitabu ukisoma au movie ukicheki unakua muoga sana au unakua na tabia flani flani.
Taarifa nyingi tunazopata huingia kwenye sub conscious mind yetu na baadae kutubadili bila yetu sie wenyewe kujijua.
Tuwe makini na vitu tunavyo tazama,sikia na kuongea.
Unaeza jifanyia programming mwenyewe na ukawa the best person ever.