keen salva
Member
- Apr 8, 2017
- 73
- 21
Mbona sioni hosting kutoka tanzania au Tz hatuna hosting providers naona tu bluehost na wengine??????
Wengi ni wababaishaji na wanatamaa wengine ni matapeli kama huyu salumMbona sioni hosting kutoka tanzania au Tz hatuna hosting providers naona tu bluehost na wengine??????
ila zipo official campany zinafanya bila utapeli tatizo letu pia wa Tz tunapenda vitu rahisi rahisi na simple kama kudili na mtu mmoja au person lazima upigwe tu.Wengi ni wababaishaji na wanatamaa wengine ni matapeli kama huyu salum
Salum Mohammed kuwa na hofu ya Mungu