Kwa wale watabe wa ku develop tepmlate za website na blogger

keen salva

Member
Apr 8, 2017
73
21
Habari zenu wakuu wa jukaa,

kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, kwa wale wenye utaalamu na muda wa kutosha ku-design Templates za website, blogger na hata Wordpress na kuziuza au kuzitoa for free ni muda wao sasa, Mjasiriamali Desk inatoa fursa hii kwa wote wanaovutiwa na kutoa ujuzi wao katika swala hili kuweza ku-submit kazi zao katika sehemu ya Resources/Marketplace kwa kuuza au kutoa for free
 
Me nahitaj ambazo mtu kadevelop custome. Izo huwa zinakuwa na macredit kibao hadi kero pia kuna malink menhine hata hayatoki
 
Me nahitaj ambazo mtu kadevelop custome. Izo huwa zinakuwa na macredit kibao hadi kero pia kuna malink menhine hata hayatoki
Hazina shida, kama kuna link unahitaji kutoa naweza kusaidia, nime develop mwenyewe, pia unaweza nipatia requerement zako nika kufanyia from scratch
 
Back
Top Bottom