Recent content by KDS

  1. K

    Naombeni mnisaidie Kwa hii research title wakuu nisije kataliwa tena kesho napeleka

    ipange vizuri hii: Assessment of the influences of classroom teacher- student relations on the student academic achievement. lakini mara nyingi title yaweza badilika inabadilika cha msingi uwe smart kwenye objectives.
  2. K

    Nina Shamba Sijajua nipande nini,Ushauri Wadau

    Mkuu kwa uhakika wa kuelewa mazao gani yanatakiwa kupandwa kwenye shamba lako nakushauri uwasiliane na Kituo cha utafiti wa kilimo Mlingano, Tanga. Wao watakushauri vizuri sana baada ya kuchukua sampuli za udongo na kuzichambua kwenye maabara yao. Jamaa wapo vizuri sana tuwatumie, hutajutia...
  3. K

    Wizara ya kilimo mnatia aibu

    Nakupongeza sana mkuu kwa kuliona hili, wizara hii ni miongoni mwa wizara za ovyo kweli kweli. Ina wasomi wengi sana wenye elimu kubwa hadi PhD na MSc lakini hata ukiangalia miundombinu ya majengo ya taasisi zake zinasikitisha sana, huezi amini kwamba ndani ya majengo haya kuna watu wenye elimu...
  4. K

    Ukweli ulivyo ukitaka kumdanganya mwafrika, mdanganye msomi

    UKWELI ULIVYO UKITAKA KUMDANGANYA MWAFRIKA, MDANGANYE MSOMI Na Victor Makinda- Imechapishwa kwenye Gazeti la RAI (Oktoba 26- November 1, 2017) Afrika ni bara la giza. Sio giza lenye maana ya giza, la hasha. Giza kwa maana waafrika walio wengi wana uoni hafifu kuhusu kesho yao. Waafrika tulio...
  5. K

    TENGENEZA PESA KUPITIA MTANDAO WA INTANETI

    jaribukuingia mimi nimeona nisiwe mchoyo wakati pesa zipo tu, changamka mkuu.
  6. K

    TENGENEZA PESA KUPITIA MTANDAO WA INTANETI

    Habari wakuu, Naleta kwenu hasa vijana ambao hamna kazi, sasa usilalamike tena ingia kwenye linki hii ifuatayo na upate pesa kwa kuangalia matangazo. Kwa siku unaweza pata TSh.500,000/= mpaka 1000,000/=kutegemeana na juhudi yako ya kukaa kwenye komputa ikiwa na mtandao wa komputa. Ingia kwenye...
  7. K

    Afisa Elimu Msingi Muheza ndugu Saidi Juma Kondo jirekebishe

    Ndugu wana Jamiiforums. Huyu bwana ni mkurupukaji kwenye maamuzi, na anajihusisha na RUSHWA YA NGONO KWA WALIMU WA KIKE. Ninaadika hapa kumuonya kwani walimu wengi wanalalamika juu yake. Bwana Kondo tenda haki na uangalie mwenendo wako kwani mahusiano mema ni bora kuliko pesa zako. Nakushauri...
  8. K

    Urambo mashariki kwa Mh.Sitta mambo yameiva

    Ukoo wa Mapolu?? Hapati kura Wanajisikia sana wale, kwao usoke mlimani pale.
  9. K

    Msaada SPSS inahitajika haraka

    Wakuu sina shaka mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu. Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji haraka sana program ya SPSS version 17. Computa yangu ni window 7, nipo Korogwe kwa wiki hii ya xmass. Alie tayari kwa logistics anipm.
  10. K

    Pikipiki inauzwa platina bajaji bei poa

    Hiyo boxer inayouzwa 1.5m ipo mji gani
  11. K

    Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

    Wana JF, natumai mko vizuri. Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.
  12. K

    Museveni amsifu Kenyatta kwa kuwa mtu wa vitendo zaidi

    Mpaka ch.ch.m. ife ndio nchi hii itaendelea.
  13. K

    Ufafanuzi: Kodi ya mapato ya bajaji ipo au ilifutwa?

    Wadau natumai mko shwari. Leo nimepita hapa Korogwe, Tanga nimekuta msako wa TRA dhidi ya bajaji ambazo hazijalipa mapato. Hivi serikali hawakuiondoa bajaji kwenye kodi ya mapato? Mwenye taarifa sahihi na uelewa tafadhali atupie, isije kuwa tra wanaonea watu tu kwa sababu hawajui. KARIBU.
  14. K

    Msaada wa jinsi ya kurudisha folder zilizo futwa kwenye computer

    Asante sana, naifanya hiyo kazi leo.
Back
Top Bottom