Kama nyimbo zakidunia watu wanacheza mpaka jasho vipi juu ya mungu muumba wetu silazima tuwe vichaa kwakucheza na kuimba?!,hata wakileta style mbalimbali zote tutacheza,kwani tusipo cheza sisi mawe yatacheza.inaonekana wewe hufanyag mazoezi.
We achana na hao pekupeku we chakuangalia unauhusiano gani na mungu wako,unamfanyia anavyotaka au kaz yako kuchunguza tu din za watu?ifike sehem tutambue hizi ni nyakati za mwisho kilamtu ajichunguze yeye kwanza kabla ya mwingne.
We kaka achamawazo finyu huyo ni mkeo na wakat unamuoa ulitabasam sana ulifkil uko kwenye bustan ya eden nn? Ukasahau kuna shda sasa jtambue mpeleke kwenye maomb kwan jehova ndo kila kt akuna limshindalo labda ww ukaid.amna
Babuyako ni muongo alikuwa mlev alaf anasema malaika wamemfuata,hao sio malaika wa mungu ni malaika wa pepo,labda kabla ajafa aliongozwa sala ya toba.kwan kila amwaminie YESU KRISTO na kubatizwa na kutenda yaliyo mema huyo ameokoka.amina!
Nahtaj msaada nasumbuliwa na chunus na makovu meus kwenye sura yangu nitumie nn,nahtaj majibu mazur tafadharin nduguzang.napenda nguz yangu iwe nyororo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.