nimejaribu kwenda hospital wameniambia inawezekana nina matatizo ya kisaikolojia kwahiyo hii hali ni ya muda tu na itaisha lakini hawana dawa ya kutibu tatizo.
kama hiyo haitoshi nimeenda kwa mtoa tiba asilia ameniambia nimetupiwa jini mangata na mpenzi wangu wa zamani niliechana nae kwa ugomvi hivyo nikarudiane au nikamuombe msamaha ikiwa na kumpelekea mnyama yoyote kati ya hao alionipandikiza njia nyingine ni kupiga pull (masturbation) huku nikila kitimoto kwani ni rahisi hayo majini yakaniachia na kukimbilia kwa mdudu huyo tofauti na hapo nitakiona cha moto kwani ramli zake zinasema yuko mbioni kunibadilishia muungurumo badala ya huo wa wanyama inawezekana ukawa wa chombo chochote cha moto
leo ndo naingia field nitakuja wapa mrejesho kesho nini kimetukia
:A S-confused1::A S-confused1: KWA WANAWAKE JE.KUNA UBAYA WAKIUNGURUMA?MIMI NAFIKIRI SULUHISHO NI KWAMBA HUYO MTU WAKO AZOEE AONE NI SAWA NA MATATIZO MENGINE YA BINADAMU.
aNAYEKUPENDA KWA DHATI HATAONA SHIDA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.