Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

Mkuu MziziMkavu nashukuru sana kwa kunipatia hiyo email ili niwasiliane na huyo mwenye virutubisho. na nashukuru pia kwa maelezo ya ziada katika posts nyingine. Pia niwashukuru dada Smile na mkuu Nyalotsi kwa kunipatia maelezo na kunipa ufunuo zaidi juu ya huu ugonjwa. Kwa pamoja wote Mungu awabariki sana.
kwa khttps://www.jamiiforums.com/jf-doctor/208271-si-ukimwi-tu-kuna-hepatitis-b-pia.html?highlight=ifupi huku jf tuliudiscuss hapa pitia hii post uelewe vizuri mkuu
 
chanjo.jpg

Mwanamke akipata chanjo ya homa ya ini, ugonjwa ambao unaua na kusumbua wengi duniani ikiwamo Tanzania. Picha ya Mtandao

KWA UFUPI

  • Wataalamu wanaeleza kuwa Hepatitis B au homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa urahisi, wenye madhara makubwa na wenye uwezo wa kuambukiza kwa wepesi kuliko Ukimwi.

Ugonjwa wa selimundu unasumbua wengi, umetengua ndoa za wengine, kwa sababu ya kutojua.

Hakuna shaka kwamba umewahi kusafiri nje ya nchi yako na kutakiwa kupata chanjo.

Kwa wengine, chanjo hiyo ikiwamo ya homa ya ini imeonekana kama usumbufu na udhia mtupu. Hata hivyo, wapo wengine ambao hawaufahamu ugonjwa huu.

Kwa wanaoujua, wanahofia kuwa ugonjwa huu una madhara makubwa pengine kuliko saratani na Ukimwi.

Homa hiyo au Hepatitis B inapewa uzito mdogo licha ya kuwa ni ya hatari kubwa.

Wataalamu wanaeleza kuwa Hepatitis B au homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa urahisi, wenye madhara makubwa na wenye uwezo wa kuambukiza kwa wepesi kuliko Ukimwi.

Kitaalamu, ugonjwa huu, husababishwa na virusi vya Hepatitis B (HBV) ambavyo huathiri mfumo wa utoaji wa sumu mwilini. Inaelezwa kuwa robo tatu ya watu ulimwenguni wameathiriwa kwa muda na homa ya ini na wengine milioni 350 wameathirika moja kwa moja.

Takwimu zinaonyesha kuwa homa ya ini huua watu 600,000 kila mwaka katika sehemu mbalimbali, idadi ya watu inayolingana na wale wanaokufa kutokana na malaria.

Maradhi haya ya ini yanaelezwa kuwa yanaweza kusababishwa na kunywa kileo kupita kiasi au sumu inapoingia mwilini.

Hata hivyo, mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na virusi.

Wanasayansi kwa upande mwingine wamegundua virusi vitano vinavyosababisha ugonjwa huu na wanasema kwamba huenda kuna vingine vitatu.

Matokeo yake, sheria zimewekwa katika nchi mbalimbali ambazo zinamtaka kila raia mgeni anayetaka kuingia katika nchi husika, kupata chanjo ya ugonjwa huu ili kuepusha maambukizi. Kila anayechanjwa hupewa kadi maalum itakayomwezesha kuingia katika nchi husika ili kuthibitisha kuwa amechanjwa.
Hata hivyo, ujanja mwingi umekuwa ukifanyika katika baadhi ya nchi ikiwamo Tanzania ambapo watu hujipatia kadi za homa ya manjano kwa kutoa rushwa na kukwepa kuchoma chanjo hiyo pindi wanapotaka kusafiri nje ya nchi bila kujua madhara ya kutopata chanjo hiyo.

Vilevile, chanjo hiyo iliwahi kukosekana nchini kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na sababu ambazo haziwekwi wazi na mamlaka zinazohusika.

Hatari kubwa ya ugonjwa huu inatajwa ni namna ya uambukizaji wake ambapo, unaposhika damu au majimaji ya mwilini ikiwemo mbegu za uzazi huweza kuambukizwa.

Wataalamu wanaeleza ubaya wake ni kuwa unaweza kuambukizwa kwa kufanya ngono na hata kwa kushika majimaji ya mwili wa mtu aliyeathirika ikiwemo damu, mate, machozi na mkojo.

Taarifa za Shirika la Afya Duniani(WHO) zinaeleza kuwa kirusi cha homa ya ini kinaweza kuishi nje ya mwili wa binadamu kwa siku saba na kwa wakati huu, kirusi hiki kinaweza kusababisha maambukizi iwapo mtu hajapata chanjo ya kuuzuia.

Watanzania wengi bila kujua wamekuwa wakiugua maradhi mbalimbali yanayosababishwa na homa ya ini na bila kufahamu ini limekuwa likiathirika taratibu.

Dk Yuki Mark wa Hospitali ya Parktown North, Johanesburg, nchini Afrika Kusini anasema kuwa homa ya ini aina ya B inaweza kuua kimyakimya bila kuonyesha dalili zozote.

“Huenda dalili zikaonekana waziwazi miaka mingi baada ya mtu kuambukizwa. Zinapoonekana, huenda tayari ini limenyauka au lina saratani na magonjwa hayo huua asilimia 25 ya watu walio na virusi vya HBV,” anasema Dk Mark.

Aidha, mtaalamu huyo anasema, dalili kuu zinazojulisha kuwa mtu ana homa ya ini ni kutapika, kuchoka kupita kiasi, kuathirika kwa ini, homa na mkojo kuwa wenye rangi ya njano iliyokolea sana.

“Unaweza kuharisha na kutapika au kupata maumivu katika eneo fulani la tumbo lako, macho na ngozi kuwa vya njano,” anaeleza.

Homa ya ini aina ya B, inaweza kuingia mwilini mwa mtu kwa njia ya ngono, kama ilivyo Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa. Hivyo basi, majimaji katika mwili wa mwanadamu yanaweza kuwa chanzo cha maambukizi.“Watu wengi wanaendelea kuambukizwa kwa kutiwa damu yenye virusi hivyo, hasa katika nchi ambako hakuna vifaa bora vya kuchunguza virusi hivyo katika damu. Virusi vya HBV vina uwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza kwa kulinganishwa na virusi vya Ukimwi,” anasema Dk Mark
Anaongeza: “Hata kiasi kidogo cha damu yenye virusi hivyo kama ile inayobaki kwenye wembe, inaweza kupitisha virusi hivyo na tone la damu iliyokauka kwa juma moja au hata zaidi inaweza kumwambukiza mtu virusi hivyo.”

Dk Mark anasema, madhara mengi huweza kumkumba mtu aliyepata maambukizi ya homa ya ini, kwani anaweza kupata shinikizo la damu, anaweza kuathirika ubongo au hata kupooza sehemu ya mwili wake.

Angalizo ambalo mtaalamu huyo anaeleza ni kuwa baada ya mtu kuambukizwa homa hiyo, hawezi kupona, kwani dawa kuu ya ugonjwa huu ni chanjo ya kuzuia homa ya manjano (yellow fever vaccination).

chanzo.Homa ya ini ni ugonjwa hatari kuliko Ukimwi - mwanzo - mwananchi.co.tz

HEPATITIS B NI NINI?
Hepatitis B ni ugonjwa wa manjano ambao hushambulia ini.
Ugonjwa huu kama haujatibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadaye KIFO.
Inakadiriwa watu milioni 350 duniani wameathirika na ugonjwa huu ambapo watu 620,000 hupoteza maisha kila mwaka kwa ugonjwa huu.

HEPATITIS B UNASABABISHWA NA NINI?
Ugonjwa huu husababishwa na virusi waitwao Hepatitis B (HBV) ambao hukaa katika ini, damu na baadhi ya majimaji mwilini.

UNAAMBUKIZWAJE?
Ugonjwa huu huambukizwa kwa njia zifuatazo:
-Kujamiana bila kinga
-Kunyonyana ndimi
-Mama mwenye ugonjwa kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua

NB: Ugonjwa huu hauambukizwi kupitia chakula, maji au kushikana mikono na waathirika.

DALILI ZAKE
Dalili za ugonjwa huu huchukua muda mrefu kuonekana, zikionekana mgonjwa anakuwa tayari ameathirika sana na ni kama ifuatavyo:

-Uchovu
-Kichefuchefu
-Mwili kuwa dhaifu
-Homa kali
-Kupoteza hamu ya kula
-Kupungua uzito
-Maumivu makali ya tumbo upande wa ini
-Macho na ngozi kuwa vya njano
-Mkojo mweusi

KINGA
-Chanjo
-Kutumia kinga wakati wa kujamiana
-Kuacha kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano, wembe n.k
-Kutochangia miswaki
-Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
-Kutochangia damu isiyo salama

TIBA
-UGONJWA HUU HAUNA TIBA, japo mgonjwa akiwahi hospitali atapatiwa dawa za kupambana na virusi kuvipunguza nguvu za kushambulia ini.
-Kupandikiza ini ambapo ini lililoathirika huondolewa na kuwekwa ini lingine japo ni vigumu kupata ini salama.
-Mgonjwa anashauriwa kuacha kutumia pombe, madawa ya kulevya na vitu vingine vinavyochosha ini.

JF DOCTOR tunaomba ufafanuzi wa huu ugonjwa tafadhali... Mie nimecopy na kupaste

Waione wafuatao Dr. Riwa, Dr. MziziMkavu, Dr. Mummy measkron, King'asti, mimi49 na madaktari wooote!!!
 
Last edited by a moderator:
UGONJWA WA HEPATITIS B UPO, UNAUA KAPIME SASA!

[
attachment.php

Mgonjwa mwenye Hepatitis B ngozi na macho yake vikiwa vya njano.

HEPATITIS B NI NINI?

Hepatitis B ni ugonjwa wa manjano ambao hushambulia ini.
Ugonjwa huu kama haujatibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadaye KIFO.

Inakadiriwa watu milioni 350 duniani wameathirika na ugonjwa huu ambapo watu 620,000 hupoteza maisha kila mwaka kwa ugonjwa huu.

attachment.php

Virusi vya Hepatitis baada ya kulishambulia ini.

HEPATITIS B UNASABABISHWA NA NINI?

Ugonjwa huu husababishwa na virusi waitwao Hepatitis B (HBV) ambao hukaa katika ini, damu na baadhi ya majimaji mwilini.

UNAAMBUKIZWAJE?

Ugonjwa huu huambukizwa kwa njia zifuatazo:
-Kujamiana bila kinga
-Kunyonyana ndimi
-Mama mwenye ugonjwa kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua
-Kuchangia damu isiyo salama
-Kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano, wembe n.k
-Kuchangia miswaki

Mojawapo ya njia zinazoambukiza ugonjwa wa Hepatitis B.

NB: Ugonjwa huu hauambukizwi kupitia chakula, maji au kushikana mikono na waathirika.

DALILI ZAKE

Dalili za ugonjwa huu huchukua muda mrefu kuonekana, zikionekana mgonjwa anakuwa tayari ameathirika sana na ni kama ifuatavyo:
-Uchovu
-Kichefuchefu
-Mwili kuwa dhaifu
-Homa kali
-Kupoteza hamu ya kula
-Kupungua uzito
-Maumivu makali ya tumbo upande wa ini
-Macho na ngozi kuwa vya njano
-Mkojo mweusi

Daktari akifavya vipimo vya ugonjwa wa Hepatitis B.
KINGA

-Chanjo
-Kutumia kinga wakati wa kujamiana
-Kuacha kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano, wembe n.k
-Kutochangia miswaki
-Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
-Kutochangia damu isiyo salama

Mgonjwa wa Hepatitis B akipandikizwa ini na madaktari.
TIBA

-UGONJWA HUU HAUNA TIBA, japo mgonjwa akiwahi hospitali atapatiwa dawa za kupambana na virusi kuvipunguza nguvu za kushambulia ini.
-Kupandikiza ini ambapo ini lililoathirika huondolewa na kuwekwa ini lingine japo ni vigumu kupata ini salama.
-Mgonjwa anashauriwa kuacha kutumia pombe, madawa ya kulevya na vitu vingine vinavyochosha ini.
 
Attachments

  • hepatitiss2 person withjaundice.jpg
    hepatitiss2 person withjaundice.jpg
    28.4 KB · Views: 1,578
  • hepatitiss 1liverhepatitisvirus.jpg
    hepatitiss 1liverhepatitisvirus.jpg
    40.9 KB · Views: 1,511
Hepatitis B: Top Natural Supplements for Treatment.

Hepatitis B is a viral disorder, and according to the Center for Disease Control, approximately 46,000 new cases of Hepatitis B occurred in the United States in 2006. Individuals who have sex with an HIV or Hepatitis B positive partner must undergo Hepatitis B testing.

The Hepatitis B vaccine is considered to be a major breakthrough in the prevention of this disease. Designed to prevent the infection in high-risk groups, a course of three vaccines is advisable for developing effective immunity. The vaccine is given intramuscularly and provides immunity for approximately five to seven years.
A lot of natural supplements aid in the treatment of Hepatitis B including:
Dandelion (Taraxacum officinale): Native Americans have been using this supplement for long periods of time to treat liver disorders including Hepatitis B. Dandelion can work as a liver tonic and a rich source of Vitamin A.
Milk thistle (Silybum marianum) is a Mediterranean herb that has been used for thousands of years for liver ailments.
Andrographis panniculata, better known as Kalmegh in Ayurveda, is native to India and Sri Lanka. It helps protect the liver from toxins.
Phyllanthus niruri, better known as Stonebreaker Herb, has recently been discovered to be useful in the treatment of hepatitis B. It is effective as an anti-viral herb.
Licorice (Glycyrrhiza glabra) is beneficial as a hepatitis B treatment, but should not be taken for more than four to six weeks. It has been used in Japan as a therapy for chronic viral hepatitis.

Dawa ya Ugonjwa wa Hepatitis Tiba Mbadala

Juu ya kuwa kwamba bado hazijapatikana dawa za uhakika juu ya maradhi haya, lakini wachunguzi wamegundua kuwa vipo vitu viwili ambavyo vinaweza kusaidia kwa wale waliopata maradhi haya katika early stage na pia unaweza kujikinga na maradhi hayo.

Zabibu (Grapes): Huifanyia kazi Ini pamoja na kuinua glycogenic,kwahio inaaminika ulaji wa zabibu huweza kuwa ni kinga dhidi ya maradhi hayo ( na ni vizuri zaidi kula fruits kabla ya kula chakula cha mchana isiwe kama wenzetu nchi za arabuni wao kwanza huanza chakula baadae ndipo hula matunda, kwa utaratibu wa lishe bora kwanza inatakiwa kula matunda ndipo ule chakula kizito)

Mtindi (Curd,yogurt): Kutokana na upungufu wa damu, ambayo ni moja katika sababu kubwa zinayosababisha maradhi ya hepatitis, Lectic Acid inayopatikana katika mtindi husaidia mfumo mzima wa damu ndani ya mwili. Kula mtindi uchanganye na asali iwe unakula mara kwa mara.

Mwenye Ugonjwa wa Hepatitis kunywa sana Maji ya Miwa kuywa kwa wingi ni mazuri sana kwani yanamsaidia mwenye hayo maradhi ya Hepatitis B.
 
Mgonjwa mwenye Hepatitis B ngozi na macho yake vikiwa vya njano.
HEPATITIS B NI NINI?
Hepatitis B ni ugonjwa wa manjano ambao hushambulia ini.
Ugonjwa huu kama haujatibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadaye KIFO.
Inakadiriwa watu milioni 350 duniani wameathirika na ugonjwa huu ambapo watu 620,000 hupoteza maisha kila mwaka kwa ugonjwa huu.
Virusi vya Hepatitis baada ya kulishambulia ini.
HEPATITIS B UNASABABISHWA NA NINI?
Ugonjwa huu husababishwa na virusi waitwao Hepatitis B (HBV) ambao hukaa katika ini, damu na baadhi ya majimaji mwilini.
UNAAMBUKIZWAJE?
Ugonjwa huu huambukizwa kwa njia zifuatazo:
-Kujamiana bila kinga
-Kunyonyana ndimi
-Mama mwenye ugonjwa kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua
-Kuchangia damu isiyo salama
-Kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano, wembe n.k
-Kuchangia miswaki
Mojawapo ya njia zinazoambukiza ugonjwa wa Hepatitis B.
NB: Ugonjwa huu hauambukizwi kupitia chakula, maji au kushikana mikono na waathirika.
DALILI ZAKE
Dalili za ugonjwa huu huchukua muda mrefu kuonekana, zikionekana mgonjwa anakuwa tayari ameathirika sana na ni kama ifuatavyo:
-Uchovu
-Kichefuchefu
-Mwili kuwa dhaifu
-Homa kali
-Kupoteza hamu ya kula
-Kupungua uzito
-Maumivu makali ya tumbo upande wa ini
-Macho na ngozi kuwa vya njano
-Mkojo mweusi
Daktari akifavya vipimo vya ugonjwa wa Hepatitis B.
KINGA
-Chanjo
-Kutumia kinga wakati wa kujamiana
-Kuacha kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano, wembe n.k
-Kutochangia miswaki
-Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
-Kutochangia damu isiyo salama
Mgonjwa wa Hepatitis B akipandikizwa ini na madaktari.
TIBA
-UGONJWA HUU HAUNA TIBA, japo mgonjwa akiwahi hospitali atapatiwa dawa za kupambana na virusi kuvipunguza nguvu za kushambulia ini.
-Kupandikiza ini ambapo ini lililoathirika huondolewa na kuwekwa ini lingine japo ni vigumu kupata ini salama.
-Mgonjwa anashauriwa kuacha kutumia pombe, madawa ya kulevya na vitu vingine vinavyochosha ini.
IMEANDIKWA NA CLARENCE MULISA KWA MSAADA WA MITANDAO
 
Kusoma kote basi unashindwa hata kuelewa huu ugonjwa unambukiza kivipi? Bibie Chocs

Dah...thanks...unajua sijui bado nina usingizi!

Mwenzio nimeona unaambukizwa na hivyo vijidudu...sasa kumbe kwa huku chini kuna kwa njia ya kujamiiana hata kwa kugusa majimaji ya mwathirika wa ugonjwa huo..basi ni hatari kwelikweli..hivi kwa hapa TZ watoto wachanga si hua wanapata hii chanjo?
 
Ugoniwa huu unaambukizwa kwa njia zipi MziziMkavu?
Homa ya ini aina ya B, inaweza kuingia mwilini mwa mtu kwa njia ya ngono, kama ilivyo Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa. Hivyo basi, majimaji katika mwili wa mwanadamu yanaweza kuwa chanzo cha maambukizi.“Watu wengi wanaendelea kuambukizwa kwa kutiwa damu yenye virusi hivyo, hasa katika nchi ambako hakuna vifaa bora vya kuchunguza virusi hivyo katika damu. Virusi vya HBV vina uwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza kwa kulinganishwa na virusi vya Ukimwi,” anasema Dk Mark
Anaongeza: “Hata kiasi kidogo cha damu yenye virusi hivyo kama ile inayobaki kwenye wembe, inaweza kupitisha virusi hivyo na tone la damu iliyokauka kwa juma moja au hata zaidi inaweza kumwambukiza mtu virusi hivyo.”

SOURCE: Mzizimkavu
 
Sante sana

Homa ya ini aina ya B, inaweza kuingia mwilini mwa mtu kwa njia ya ngono, kama ilivyo Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa. Hivyo basi, majimaji katika mwili wa mwanadamu yanaweza kuwa chanzo cha maambukizi."Watu wengi wanaendelea kuambukizwa kwa kutiwa damu yenye virusi hivyo, hasa katika nchi ambako hakuna vifaa bora vya kuchunguza virusi hivyo katika damu. Virusi vya HBV vina uwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza kwa kulinganishwa na virusi vya Ukimwi," anasema Dk Mark
Anaongeza: "Hata kiasi kidogo cha damu yenye virusi hivyo kama ile inayobaki kwenye wembe, inaweza kupitisha virusi hivyo na tone la damu iliyokauka kwa juma moja au hata zaidi inaweza kumwambukiza mtu virusi hivyo."

SOURCE: Mzizimkavu
 
Nilisikia mahala kuwa hivyo virusi vinapita kirahisi kwa watu wnaaofanya Ngono Kinyume na Maumbile yaani Homa Ya Ini Inaaffect zaidi Wanaoengage Anal Sex..i.e Gays.......Pamoja na Saratani ya Utumbo...Clarify kidogo Doc.
 
Back
Top Bottom