Umekomaa hadi ukikaribia kompyuta inaandika 'new hardware found'
:help: mbavu yangu imevuchika huku
Kwenu walokole hadi chakula mnapikia msalaba
Kwenu mpo wengi mpaka sebuleni mmejenga roundabout....unadamu chungu mpaka mbu akikung'ata anasukutua
Wewe ni mzembe hadi mafundisho ya kanisani unayaendea tuition