Hivi ndo umefika huku mkuu.Mambo ya msingi kushadadia kama simba na yanga??
Kweli siasa zinatufanya maslai ya Umma hatuyapi tena kipaumbele tunaangalia maslai ya pande zetu.
Umesomaa alichoandika
Mwisho kamalizia hivi
Kwanza MBOWE na Chadema hawajavunja sharia, ila wamekiuka kanuni kuandamana bila kibali, ila yale hayakuwa maandamano ya kupangwa, imetokea dharura, hawakutendewa haki, hivyo wamekuwa provoked na kulazimika kuandamana, kufuatia kwa nini CCM tuu ndio...
kwa hili uko sahihi haikua vyema kuchagua upande kwenye siasa za Kenya mbaya zaidi Upinzani kuunga mkono chama tawala Kenya. Shida hawataweza kulikubali hili kosa.Kama kweli ni chama kilicho komaa inabidi kijitokeze na kukiri kosa kwenye hili bado hawajachelewa.
Mzee baba mbona unagubu hivyo. Haipendezi kabisa kila siku kusimangana kwa kitu ambacho kila mtu amepewa uwezo wake wa kufikiri.tukubali kutokukubaliana kwenye some issues.hakuna sababu ya kulalamika kila kukicha kubali kua na yeye anaweza kua na mtizamo tofauti wewe then tusonge mbele.au kama...
Mkuu aliyeleta mada ameleta kishabiki na kwa nia ovu nimesikiliza hoja ya Msukuma ni alikua anamjibu mtu anayetaka Kununuliwa mashine ya kusaga kisamvu kwababu havipatikani supermarket ndo Msukuma akajibu kwamba angeanza kuchukua kinu atengeneze kisamvu apeleke sokoni kikinunuliwa na kuisha ndo...
Mie nimesoma Rules za 201718 ndo nimekuwekea hapo
https://www.uefa.com/MultimediaFiles/Download/Regulations/uefaorg/Regulations/02/46/71/38/2467138_DOWNLOAD.pdf
inawezekana uko sahihi ila support hoja yako kwa kanunu.Mimi nilikua sijui ila niakenda kutafuta kanuni za 2017/18 nikakuta hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.