kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,192
- 21,862
pambana na hiki chama kilichoshika dola kwanza..... hawa ndio wanaoendesha nchi...
cdm kumsapoti uhuru hadharani sio kosa.... mbona huzungumzii mzee alivyotua kule chato na helikopta ? sapoti za bwana yule kwa odinga ni kubwa sana kuliko unavyodhani, naamini ni moral and material support/,,,,,,cdm waliamua kuweka uwazi kwamba wanamuunga mkono uhuru , sio kama bwana yule analeta unafki huku anamsapoti chini chini......
siHAsa ni maji taka... (in colomije's voice)