Pole sana dada,
kwanza fanya maombi sana mungu atakujibu, alafu rudi kwa mmeo na uwe mkali kwa hao mawifi usiwasikilize maneno yao mi nnavyojua mawifi ukiwa mpole wanakunyanyasa ukiwa mkali watakuogopa usikubali kuacha mali ulizochuma na mmeo, mwingine aje ale kiulaini,yaani kataa dada mawifi...
Hilo mbona sio tatizo, ongea na huyo mkeo mtarajiwa kama ana ndugu yake ambae ni mtu mzima muelewa ili akaongee na wzazi wa huyo binti, wataelewa tu wengi yamewatokea tena sio dhehebu dini tofauti na wameelewa na maisha yanasonga, dont give up
Habari wana JF,
nina rafiki yangu anafanya kazi kwenye compuni ana mtoto mmoja na hawana mawasiliano na baba wa mtoto tangu mtoto azaliwe ana umri wa miaka miwali,
Kuna mwanaume ofisini kwao anataka awe nae kama mpenzi wake,
Swali lake, je mahusiano kazini yana hatari? Naomba ushauri
kama yy ana historia mbaya je ww una historia nzuri usimuhukumu mwenzio wakati na ww ni binadamu jaribu kufikiria kwenye hayo maamuzi yako, usifikirie huyo tu fikiria na utakae mpata atakuwaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.