receptionists vp jaman

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
katika hali ya kushangaza unapita ktk kampuni fulani kwa malengo ya kutafuta kaz,ila shida inakuja kwa wadada wa reception.anakuambia hapa kazi hakuna na huwa hatuajili.sasa cjui yeye kafikaje hapo.pia unamwambia basi naomba kuonana na HR anadai huyo mtu huwa haonani na wageni km nyie.kwa kweli hii hali co nzuri ukizingatia wote tuko kwenye kutafuta.we hapo ulipo co kwamba utakaa milele.jirekebisheni ili twende sambamba na midundo ya maisha.
 
Duuh huyo mdada kapewa amri kwa hiyo anafanya wajibu wake. Usilaumu!
 
Mkuu siku nyingine ukiwa unajiandaa kwenda kwenye ofisi za watu Omba sana Mungu akupe Kibali huko uendako....hao watu hawanaga utu kabisa.....polite Language ndio usiseme!!
 
Mkuu siku nyingine ukiwa unajiandaa kwenda kwenye ofisi za watu Omba sana Mungu akupe Kibali huko uendako....hao watu hawanaga utu kabisa.....polite Language ndio usiseme!!

yah hlo ndio neno ua exactly a great thinkers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom