Naumia sana, Sikujua kama kuna siku nitanyanyaswa!

Nikaamua kuondoka na kumwambia aniletee talaka yng kwe2, na nikamwambia sitahtaji mali yyt namwachia kila kitu nikaondoka na mwanangu baada ya siku mbili akaja kwetu analia hk kanipigia magoti kw nimsamehe anaomba nirudi nyumbn eti ni ndg zk wamemshawishi anifukuze, kwakweli kwa uchungu nilionao nikakataa katakata, akamtuma baba yk ambaye ananipenda sn pmj na washenga waje kuongea yaishe, nimeshndwa kukubali kurudi kwakwe kwn roho inaniuma sn nikikumbuka matesho niyopata na jins alivyonifukuza, KWAKWELI NAMPENDA SN MUMEWNG LKN SIJUI KM NITAWEZA KUMSAMEHE naumia sn ni heri nife maskini klk kunyanyaswa,

Dah kama unajua kupenda plz njoo kwangu mm moyo wa kupenda mpweke sana aisee,cjapendwa tangia mwaka 98,apa nko namchuchu eti anasema take care of me,alaf i love u sana kama unajua kupenda
 
pole kwa matatizo yaliyokufikia hiyo mipango ya mola vigumu kuipangua,kuna kitu yeye(Mola) anataka kitokee. Nalog off
 
magari yt kaandika majina yk ila nyumba zt hazina hati kwni viwanja vk nje kdg ya manispaa na kwa muda mrefu nimekua nikimwomba tuwalipe manispaa hela waje wapime viwanja watupe hati ambapo nilimwomba aandike majina yng na yk, anakataa anasema ati ndugu zk watamwona kw kakaliwa na mke, hii si haki ht MUNGU anaona, nimeish naye miaka 10 tk nikiwa na miaka 19 nimemvumilia saana ila kwa kweli basi tu km kn ubaya niliomtendea MUNGU ATAMSAIDIA ATAENDELEA KUMILIKI HY MALI VINGINEVYO MUNGU ATAMLAANI
du
Daaaaaahhh!!! Pole pole pole sana imeniuma kama vile imenitokea mimi ila Kama unaweza kujimudu mwenyewe now yaani kama una asset yoyote inayokupa hela ya kula na kutatua matatizo madogo madogo nadhani BORA UWE PEKE YAKO.. hata MUNGU mwenyewe atakuwa upande wako kukusupport unyanyuke tena ukiwa bila huyo jamaa.. MUNGU WETU NAAMINI ATAKUFARIJI NA UTAISHI MAISHA YA FURAHA TU..AMEN

POLE SANA
 
Mbona mambo madogo tu dada! Kama karudi home na kakuomba msamaha so rudi home.

Acha kuleta wenge wewe umeshamzalia mtoto nenda kakae na mumeo.
Cha muhimu mali muandike umiliki wa wote wawili ili baadae asije kuzingua.

Acha hasira ukikataa kumsamehe itakula kwako mana atavuta kamke kadogo dogo na hv mna tipa 3 mijengo 2 ni wazi hela ya kubadilishia mboga tu na kumrembesha mwanamke haikosekani.
Kazi kwako.
 
Acha ujinga wewe hujui mwanaume ni kichwa tu cha familia lakini wewe ndio shingo la kugeuza hicho kichwa na mwili mzima?
Unaniudhi unaposema umesusa na hutaki mali yoyote na hurudi kwa mumeo,so unataka watoto walelewe kwa shida wakati mmeshataabika miaka yote kumi?
Kama hujui sheria ipo upande wako,mali zote mlizochuma mkiwa kama familia ni haki yako nusu kwa nusu na mumeo,ndugu wala hawausiki hapo.
Funga virago rudi kwa mume mlee watoto
Tena mpe kabisa maelezo ya kuwa mali mtaandika kwa majina yenu wote la sivyo unaenda kumshtaki.
Mungu huwa anatoa misaada kwa njia tofauti,kama hapo ameshakusaidia kujua sheria sasa we kaa subiri sijui akusaidie nini tena maana ameshakuonyesha njia,
 
Habarin,Wkt naolewa mume wang hy alikua anamiliki kitanda tu na alikua ni dreva nami nilikua sekretary wa kiwanda cha uchapishaji, kwakweli tumepitia mitihani mingi sn wkt mwngn tulikua tnalala njaa ila nilivmilia, mume wng alikua mfujaji mzuri sn wa hela, ktkn na tabia hy ilibid tukubaliane hela zt zikae kwny account yng, baada ya 5yrs tukawa tumehfadhi hela kias tukanunua lorry (tipa) baada ya 2yrs tukanunua kiwanja na kukijenga, ss tna malorry 3, nyumba 2 na maduka 2. Wkt hatuna k2 wifi zng walikua wapole na walikua wananisihi nimvumilie kaka yao kwny shida na kweli nimepata shida nyingi nyingi sn but nilivumilia, KWAKWEL NI MWAKA WA 3 TK WIFI ZNG (wameolewa wt) WAANZE UISA,WAKIJA WAKIKUTA NIMEVAA NGUO NZURI,KANGA,VIATU WANANIMBIA NIWAGAIE, wakikuta nguo kambani, vyombo vzuri wanabeba nikiwauliza wanasema ni mali ya kaka yao, wanamshawish kaka yao aachane na mm eti nataka kumrithi na kweli mume wng aliwasikiliza akaniambia niondoke niende kwetu kwani mali zt ni zk,

huyo mumeo ni punguani kabisa. Kwa kuwa hela zote zipo kwenye account yako, unaonaje ukijifungulia biashara na kujikita kwenye kusaka mali zako mwenyewe?
 
Kama wewe ni mke halal, u r entitled na asilimia 50 ya Mali mlizochuma mkiwa pamoja, pia Kama mna watoto ni wajb wa baba pia kuchangia malezi. Kaza Uzi dada uskubali kupoteza haki yako kwa sababu yoyote ile.

Ziwe na jina lake au la nani ikithibitika kuwa hizo mali mlichuma WOTE wewe una uhalali nazo! Ila sijui wanasheria wanasemaje nadhani kuna uwezekano hata wa wewe kupewa ukaziendesha ikiwa huridhiki na ufujai wake
 
Msemao arudi tu hamja experience alichokixperience huyu dada!

Kumwacha mwenzi wako si kazi ndogo na tusiingie kwenye dhana kuwa LH alifanya aamuzi ya pupa na hasira; tutakuwa tunakosea

Sio lazima ndoa zote zitengenezwe.........nyingine ni beyond repair.......................Lonely heart sikiliza moyo wako; ila usilete ujinga wa kumsusia kilicho chenu na watoto wenu..............wafaidike manyang'au..................watakapofikia umri wanao watakulamu sana! Linda haki yao sasa!
 
khaaa! this is what i call uvumilivu,

to me nakushauri hapa uwe ngangari tena vaa sura ya kazi hasa, acha utoto wa kuwa mlegevu. usilie na kusikitika sasa hapo akili kumkichwa ongeza bidii ya kazi upate hela nyingi zaid save kwenye a/c yako ili zikufae.

kwako usiondoke na kama vikikushinda yaani mwambie yeye atoke hapo ila usinyanyue mguu yaani hakuna kung'oa kwato hapo ndani kwako.

hao ndugu unauwezo wa kuwakataa wala hutakuwa na kosa, waambie huna raha ya kuwa na wagen kwa sasa so wasubiri hadi utakapokuwa tayari na mumeo mwambie kabisa kama anaona maisha ya hapo yanamshinda basi yeye ndo asepe ila wewe hutoki hadi kifo kikutenganishe.

kama naoa mke wa pili mwache aoe ila asiolee hapo ndani kwako. uwe strong aisee usigombane but amua kwa akili na ukiwa jasiri ukilemaa umeikosa amani yako.
 
Pole sana dada,
kwanza fanya maombi sana mungu atakujibu, alafu rudi kwa mmeo na uwe mkali kwa hao mawifi usiwasikilize maneno yao mi nnavyojua mawifi ukiwa mpole wanakunyanyasa ukiwa mkali watakuogopa usikubali kuacha mali ulizochuma na mmeo, mwingine aje ale kiulaini,yaani kataa dada mawifi huwa ni wajinga sana
 
Namuheshimu na ninampenda sn Mume wng ila nimegundua kw heshma na upendo wng kwake ndo vinamfanya aninyanyase namna hii,
Unaikumbuka thread yako hii I WONDER KUONA KILA SIKU NI WEWE TU AU MENGINE UNATUNGA NINI? [h=3]
icon1.png
Niko kwenye wakati mgumu sana lkn NAMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO![/h]
 
umeona dada white, bnafc nilikuwa najiuliza kwamba huyu lonenly heart anaandika v2 tofauti kila siku...huyu ni mkorofi as far as threads zake zinavyojieleza, tena mawazo yake yote ni mali, mme akiongea na wa kwao anaona wanaongelea mali, yan ww mali tu, mh plz unatokea kule kwa wasaka noti nn.
 
mmmh sasa kazi inakuwa je ulipoondoka alikuwa na wanawake wangapi, kusamehe yawezekana ila ukifikiria lile swali la TUKO WANGAPI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom