Hapa hakuna cha mapadre,maaskofu,wachungaji wala mashehe,wote wameanza kuhubiri upuuzi tu. Wameacha Injili na Tourat wameanza kuhubiri Politics. Yaan ibada niyakumsimima askofu au kuchangia msikiti,97% ya mahubiri/mawaidha ni ESCROW,IPTL,MAGAMBA e.t.c.
Foolish!