CCM maji ya shingo Rukwa!

CCM maji ya shingo Rukwa!

Bila shaka hao mapadri wameupata wito wako na kama wana akili nzuri ya rohoni wataifanyia kazi. barikiwa tu na upate heri 2015.

Hapa hakuna cha mapadre,maaskofu,wachungaji wala mashehe,wote wameanza kuhubiri upuuzi tu. Wameacha Injili na Tourat wameanza kuhubiri Politics. Yaan ibada niyakumsimima askofu au kuchangia msikiti,97% ya mahubiri/mawaidha ni ESCROW,IPTL,MAGAMBA e.t.c.

Foolish!
 
Haya ni maneno ya kikhanisi unayo andika...mapadri wananguvu kuliiko nkoswe sio ccm..mm sinaulazima wa Aesh kuwa mbunge ulazima wangu ni mwanachama mwenzangu wa ccm tu hata akiwa baba yako wakufikia muhim kwangu ni ccm tu.[

wewe sio mwanachama wa ccm hatuna takataka kama wewe unaendekeza udini kila sehemu ccm inapokataliwa,unataka kusema kila sehemu ccm ilipokataliwa nchi hii sababu ni mapadre punguza ujuha uyo Aishi kama bado unamtetea na una ona anafaa subiri mwezi wa kumi wananchi waamue nani anafaa kuwaongoza sumbawanga

Juha ni ww ulie pishana na mama yako umri miaka 9 na usiejua kusoma unakurupa nani alie kuambia kama mm ninaulazima wa aesh kuwambunge soma post zangu usikurupuke ...mm sio mwanachama tu wa ccm mm ni mwanachama wa Tanu ...
 
Kumbe ni sahihi kwa chadema kushinda serikali za mitaa hapo swanga Kama ccm ina mbulula kama wewe na unajiita ni kada wa TANU,sasa mtu kama wewe utamshauri nini mmewo aisha kama wote iq zenu ni zakuchomea mahindi ni sahihi kushindwa uchaguzi.
Watu kama nyie ndiyo mmesababisha chadema ipendwe sumbawanga kwani mmewagawa wanachama wa ccm,mmejaa matusi tu hoja hamnazo,lakini yote kwa yote dawa yenu iko jikoni
 
Nani alie kuambia chadema wameshinda ktk jimbo la sumbawanga nipe takwimu za hizo chaguzi za serikali za mitaa,vijiji na vitongoji...aesh hahitaji ushauri wangu wala mtu yoyote aesh anatakiwa kusimamia ilani ya ccm ktk jimbo la sumbawanga. Nani alie kuambia mbunge anawashauri mpuuzi ww.. naipenda sana ccm lakini namchukia mwenyekiti wake kwa jambo 1.kukataa kupeleka muswada bungeni wa watu kama ww musiolewe.laiti ange kubali mashoga kama ww kuolewa nadhani ww unge kuwa mke wangu au wajamaa zangu..
 
Back
Top Bottom