ubillionea kaupata lini?toa taarifa zenye uhakika siyo uzushi uliozagaa!!
Pole kwa mwana JF mwenzetu Mwalimu Kaijage kwa kuondokewa na tajiri yake.rip maliyatabu
Kuna taarifa zimezagaa kuhusu kifo cha bilionea Maliyatabu kufariki dunia jijin dar es salaam, yasemekana alikuwa anaunwa na kupata matibabu katika hospital ya aga khan, ni pigo kwa wadau wa maendeleo ya elimu kwa mkoa wa Kigoma