Wakuu heshima mbele,
Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha
1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION
2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa AICC estates hususani mabarabara ya estate ya KIJENGE
3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.
4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na Dowans
5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na JK barabarani
6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais
7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane inashinda na vyombo vya dola vinamlinda kwenye kufanya hayo
8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye kugombea urais .
9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko tayari suala la urais limtoe roho
10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha .
Wewe unamfahamu vipi Eddo..?
NB: wewe team lumumba buku saba mnaojadili watu na kubariki maovu ya mafisadi kana kwamba wote sisi hatuoni. Nakushauri anza na hatua ya kwanza uwe mkweli ndani ya nafsi yako halafu uwe na mtazamo huru .
UKWELI UTAKUWEKA HURU . Achana na kuwatetea wapuuzi mafisadi kumbuka tunaaswa " YARABI NAFSI YANGU" .Unaisaliti nafsi yako kwa shirki na waovu?
.............
Wewe ni sawa na kinyesi cha lowasa unawashwa tu lowasaa lowasaaaa.huyo ndo rais wetu jinga kubwa