Recent content by Kbd

  1. Kbd

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    May the Almighty God give them ( Masoud and his wife together with the entire family) the Grace to endure the very painful loss of their beloved son, so i pray. My sincerely condolence.
  2. Kbd

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Daah........hii habari imenisikitisha sana. Kwa kweli we have a long way to go na ninaamini tutamaliza na Mungu tu. Pole Mr. Melo, mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ili urejee kuungana na familia yako.
  3. Kbd

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia whatsap mbili kwenye simu moja

    Nje ya mada: Naombeni msaada: Nilitumiwa ile app ya wasap ya bila internet......sasa wakati nasajili kwenye simu, sehemu ya kuweka namba ya simu nikachanganya nikaweka namba ya simu nyingine badala ya ile ya simu ninayoisajili. Imekataa kufanya kazi inaniambia hakuna ofa hiyo kwa huku nilipo...
  4. Kbd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

    Hahahhahahhahahahahahhaaaaaaaa! Hongera mwaya........nimekupenda buree kabisaaaaa. ...........wanawake wote wamefanya vyema lakini wewe umewapita wooteeee...........
  5. Kbd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa ndoa ndoano

    Maswali ya wanaume wa miaka hii......majangaa
  6. Kbd

    JamiiForums Tanzania Kweli harusi sasa zinazidi kututia umasikini

    Kbd says thank you for this useful post
  7. Kbd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke makini hasa ndani ya ndoa

    Song of Solomon
  8. Kbd

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Yaani ata hiyo simple additional imewashinda. Idadi ya kura imezidi waliojiandikisha halafu wanatuletea &???__???=% ₩+@!^#*^(&$#&(@&() ?$#;'=_3&^??
  9. Kbd

    JamiiForums Tanzania Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mabomu ya machozi yameanza kusikika kutokea viwanja vya shycom
  10. Kbd

    JamiiForums Tanzania Mgombea udiwani CHADEMA kata ya Makoko Musoma Mjini avamiwa usiku wa Leo!

    Duuh..........pole sana kamanda, damu zenu hazijamwagika bure........nawaombea uponyaji wa haraka
  11. Kbd

    JamiiForums Tanzania Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

    Mgeni kidogo maeneo haya kamanda, na muda mwingi nakua kazini.
  12. Kbd

    JamiiForums Tanzania Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

    Asante sana kamanda, nitafanya hivyo
  13. Kbd

    JamiiForums Tanzania Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

    Safi sana, huku niliko bado sijawajua wanamabadiliko wenzangu ili tujipange
  14. Kbd

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kisarawe

    Muflisii kabisa.............kaputi walahiii...............loooooooooooo
  15. Kbd

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Kipilipili......very very useful thread, remain blessed dear.
Back
Top Bottom