Jinsi ya kutumia whatsap mbili kwenye simu moja

Jinsi ya kutumia whatsap mbili kwenye simu moja

Nice one...but applicable for android only, not for window phone??
 
Kwa kutumia gbwhatsapp unaweza ukaweka whatsapp 3 kwa simu yako
 
Asante...mimi ninashida na namna ya kuadd adiministrator kwenye group nililoanzisha ili nikiwa inje ya mtandao huyo admini nitakayemuongeza anisaidie kusimamia group.

Mkuu kama wewe ni admin na unataka kuna add admin. Nenda kwenye group menu,fungua member list kisha chagua jina la member umtakaye alafu hold mpaka zije option nyingi.moja wapo ni hiyo.
Usisahau kuleta mrejesho.
 
Thanx nimefanikisha kuunganisha disa
 
Mkuu kama wewe ni admin na unataka kuna add admin. Nenda kwenye group menu,fungua member list kisha chagua jina la member umtakaye alafu hold mpaka zije option nyingi.moja wapo ni hiyo.
Usisahau kuleta mrejesho.

Nje ya mada:

Naombeni msaada: Nilitumiwa ile app ya wasap ya bila internet......sasa wakati nasajili kwenye simu, sehemu ya kuweka namba ya simu nikachanganya nikaweka namba ya simu nyingine badala ya ile ya simu ninayoisajili. Imekataa kufanya kazi inaniambia hakuna ofa hiyo kwa huku nilipo. Nimejaribu kuitoa wasap yote na kuirudisha lakini sipate pale mahali naweza kuweka namba ya simu kwa upya.

Natanguliza shukran zangu.
 
He is my kid and i hope he is up to something weird. Nimejaribu kila njia nkibahatika kupata access ya cm take jumbe nazopata zinaashiria kitu .
by the way mi ningefurahi Na nikifanikiwa kwa huyu ntamuunganisha mama yake aweze Ku access cm yangu
 
habari wana group, nimeona post nying hapa za jinsia ya kutumia whasap mbili kwenye simu moja,
INAWEZEKANA, fuata maelezo
ingia play store, then search disa kisha install
Ikimaliza fungua disa then agree the terms of service and privacy
itakuletea setting kwachini kidogo bonyeza add service, kuna text, facebook na whatsap, bonyeza whatsap, itaanza kudownload plugins, ikimaliza bonyeza restart.
kisha kwa juu bonyeza whtasap setting needed, ikikwambia uninstall the official whatsap...... bonyeza skip,
hapa ingiza jina na namba ya simu(usijaribu kuingiza namba ambayo inatumika kwenye ile whatsap ya kawaida itakusumbua), baada ya hapo itakuletea verification bonyeza via sms, kuna sms itakuja kwenye hii namba uliyoingiza copy hiyo whatsap code iliyokuja paste pale kwenye disa kisha submit

HAPO TAYARI UNA WHATSAP MBILI

Kuchat unabonyeza kwenye hiyo alama ya +

je kwa window phone inafaa maana ciipati hiyo disa
 
Mkuu mm simu yangu ni samsung grande na nimeroot nimeinstall hiyo disa nimefika kwenye agree terms inaniambia "PLSE CLICK THE CHECK BOX ABOVE AFTER READING AND AGREEING TO THE TERMS OF SERVICE AND PRIVACE" na wakati sijaona hiyo box je inawezekana labda nimeroot simu au naomba msaada plse
 
nashukuru imekubali na msg ikiingia inatoa mlio hicho kibox nilikuwa sikioni kutokana na colour
 
Jamii forum raha sana naomba unisaidie nilikuwa nadelete/fomut texno s5 nimejikuta plystore haipo nafanyaje ili niipate tena
 
Jamii forum raha sana naomba unisaidie nilikuwa nadelete/fomut texno s5 nimejikuta plystore haipo nafanyaje ili niipate tena
Download program inaitwa Google installer install then ndani yake kuna play store utainstal
 
Back
Top Bottom