Ushauri wa ndoa ndoano

Ushauri wa ndoa ndoano

Joined
Oct 11, 2015
Posts
14
Reaction score
1
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu.
Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa.
Wote tunapendana na wote tumefanikiwa kupata kazi ila yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia ananizidi umri kwa mwaka mmoja na nusu japo kua mwili wake ni mwembaba kwahiyo sio rahisi mtu kujua kama ananizidi umri.
NAOMBENI BUSARA NA USHAURI WENU KAMA INAFAA MIMI KUWA MME WAKE...
NAomba kuwasilisha,
Kilio cha Miti
 
Shida nini hapo? Mapenzi Ni kuelewana na sio umri babue
 
Maswali ya wanaume wa miaka hii......majangaa
 
Tatizo wanaume mkizidiwa kidogo na mwanamke mnapoteza kujiamini, kama unamuoa jiongeze aidha kielimu au kipato na uwe tayari kupokea ushauri wake katika maisha nje ya hapo utahisi anakupanda kichwani.
 
Maswali ya wanaume wa miaka hii......majangaa

wamekuwa wazembe sijui wajinga, yaani hata ile sifa ya mwanaume kichwa cha familia siku hizi sio vichwa tena ni miguu
 
concern yako unayoombea ushauri ni kigezo cha umri au salary?

mapenzi na ndoa ni maridhiano ya wawili, issue za umri ni nyie wenyewe muangalie je wewe upo comfortable kuwa nae while amekuzidi? je na yeye yupo comfortable pia?
issue ya yeye kukuzidi mshahara jiulize pia maswali hayo hapo juu, na kuongezea uangalie je atakuheshimu despite kuwa amekuzidi kipato?
kaeni, pangeni na kubalianeni.
usisahau kutupa mwaliko mambo yakikaa sawa
 
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu.
Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa.
Wote tunapendana na wote tumefanikiwa kupata kazi ila yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia ananizidi umri kwa mwaka mmoja na nusu japo kua mwili wake ni mwembaba kwahiyo sio rahisi mtu kujua kama ananizidi umri.
NAOMBENI BUSARA NA USHAURI WENU KAMA INAFAA MIMI KUWA MME WAKE...
NAomba kuwasilisha,
Kilio cha Miti

Mnaboa mnaposema watu hawawezi kujua. Unaona kufurahisha watu au? ndoa ni wewe na yeye mmeridhiana kiasi gani? naona hujui unachotaka bado
 
concern yako unayoombea ushauri ni kigezo cha umri au salary?

mapenzi na ndoa ni maridhiano ya wawili, issue za umri ni nyie wenyewe muangalie je wewe upo comfortable kuwa nae while amekuzidi? je na yeye yupo comfortable pia?
issue ya yeye kukuzidi mshahara jiulize pia maswali hayo hapo juu, na kuongezea uangalie je atakuheshimu despite kuwa amekuzidi kipato?
kaeni, pangeni na kubalianeni.
usisahau kutupa mwaliko mambo yakikaa sawa

Vyote mkuu yaani mshahara na Umri.
 
Labda mnisaidie kujua ni viashiria vipi ntakavyotumia kumpima kua hatakuwa shida kwangu kwa kipindi hiki ambacho bado tuko kwenye uchumba...?
 
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu.
Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa.
Wote tunapendana na wote tumefanikiwa kupata kazi ila yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia ananizidi umri kwa mwaka mmoja na nusu japo kua mwili wake ni mwembaba kwahiyo sio rahisi mtu kujua kama ananizidi umri.
NAOMBENI BUSARA NA USHAURI WENU KAMA INAFAA MIMI KUWA MME WAKE...
NAomba kuwasilisha,
Kilio cha Miti
2AB7358B00000578-3169668-This_photograph_of_a_dog_protecting_a_kitten_during_a_thundersto-a-5_1437558409734.jpg
 
Kwenye kuoa hakuna ushauri. Kama unamkubali oa kama humkubali piga chini
 
Kama kakuzidi umri na pesa pia usikate tamaa oa huyo ila jitahidi kumridhisha kitandani la sivyo utachapiwa
 
Back
Top Bottom