MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Hiyo nimeipenda sana kamanda mtoa hoja. Inabidi kweli tujipange tupeane nafasi, siyo wote tunajazana vituoni kwa wakati mmoja tunapiga alafu tunatoka wote.
Hiyo itatusaidia kubaini njama zozote ovu dhidi yamabadiliko. Mimi tayari nimelifanyia kazi kwakuwapa taarifa makamanda wenzangu huku mbezi, tumejipanga tutapishana kilamtu kwanusu saa. Yaani tumeshapanga kuanzia saa12 ataanza mmoja anaingia ktk foleni, saa12:30 anafuata mwingine, saa1:00 mwingine, saa1:30 mwingine........ hivohivo mpk muda wakufunga.
Nawengine tumekubaliana wasubiri mpk dakika za lala salama ili wawe wamwisho. Hii itasaidia sana kugundua dalili zozote zenye utata.
Piiiiiiiiipppppooooozzzzz!!!!!
Makele na muanzisha uzi Mungu awabariki. Yaani nilikuwa ninafikiria hivi hivi ili kushinda udhalimu wa maficiem. Nimefarijika sana kuona wapenda nabadiliko tunafikiri kwa namna ile ile. Wanabadiliko wote kama kuna ambaye ana simu za viongozi wa UKAWA, teammabadiliko, teamlowassa, nk tafadhali wasiliana nao kuhusu mkakati huu ili wausambaze kwa wananchi wote wapenda mabadiliko na ikiwezekana iwe mojawapo ya HOJA kuu katika mikutano ya kufunga kampeni, kesho.