Recent content by kazikwelikweli

  1. K

    DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

    Mi nigonga cha elfu 19 ligi ya uingreza kama kawa ss3 ss4 ss10,la liga ss7 na zingine sijui kama ni promo ya sikukuuu..!!
  2. K

    Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

    Watu wafuate maadili ya mtanzania...
  3. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal 2 katimu kadaraja la chini 4..FA cup
  4. K

    Kiama kwa Wanunuzi wa German Cars (Audi, VW): Kodi ya kuingiza magari haya nchini yaongezeka maradufu

    Mabadiliko ya kodi yapo japi siyo asilimia 100 kama inavyoelezwa mf toyota harrier 2007 mwaka jana kodi ilikuwa 10.8mil mwaka 2018 ni 13.5mil.Napata changamoto kuelewa chazo ya madiliko ni nn....!! Mwisho huyu jamaa anachanganya mambo mala kulaza ccm hapo una mix madesa.......mtu anafanya...
  5. K

    Toyota RV4 2007 model 2.4 vs Toyota harrier 2.4 model 2003/7

    Habarini wakuu finally ile gari niliyokuwa naomba ushauri toyota harrier niliipokea tarehe 29.11.2017.Nashakuru sana kwa ushauri wenu.
  6. K

    Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

    Jamani ini most cases gharama za tra zinaonekana kwenye calculator yao huwa ni hizo hizo kubadilika ni kama ulikosea kuingiza data ama kupanda na kushuka kwa dola different ni ndogo.
  7. K

    Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    Leteni maswali yenye kuleta hela.....sio mambo ya mfekane sijui nn
  8. K

    Msaada kujua gharama za ziada ktk kuingiza gari nchini (mbali na CIF na ushuru wa TRA )

    Gharama za bandari,gharama za agenti wako,bila kusahau shipping line.Pia gari ikikaa zaidi ya siku zinazoruhusiwa na bandari gharama za bandari zitaongezeka i mean storage charge na kama hukufanya inspection japani utalipia 30% Tbs hapo storage charge itakuwa halali yako.
  9. K

    Hii maalum kwa walaji wa mishikaki ovyo, barabarani!

    Kamua tu provided haiui...wahutu/warundi na baadhi ya waha wanakula kama kawa.Hata mimi huwasiulizagi hii i nyama ya nn napeleka pwani tu
  10. K

    Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Kunyonya yataka moyo unaweza tapika....ushangae...[emoji23]
  11. K

    Hatimaye mwanaume mmoja ajitokeza pale Uingereza

    Ni vigumu kushinda kila game cha msingi ni kupata ubingwa.
  12. K

    Sheikh Alhad Mussa Salum(Dar) ashauri Viongozi wa dini kuacha siasa misikitini, kanisani

    Watu wanakazi zaidi ya mmoja unamkuta anauza duka kariakoo vivile ni mwalimu be careful usije umia....!!
  13. K

    Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

    Panapostahili pongezi pongeza na panapostahili kukemea kemea, mpaka round hii ya ishirini city yuko vizuri mpaka sasa waingreza wenyewe hawaamini wanachokiona.Jamaa PEP anatisha mourinho mwenyewe kakimbilia kusema hakupata hela za usajili za kutosha...!!
Back
Top Bottom