Recent content by kazana upate

  1. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Kwanini uuzaji wa Kitimoto hufanyika maeneo ya ufichoni?

    Yupo sahihi, mimi nipo Tz lakini mikoa mingi hutumia kificho, au maeneo maalum, kwa mfano Tanga unaenda pembeni ya mji, kule sabasaba. Mikoa kama mbeya, kilimanjaro, n.k ni wazi kabisa...sio uarabuni tu huko sijui a sijafika.
  2. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Sikuwahijua hili kabla, asante
  3. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Jiwe kubwa(Asteroid) kupita karibu na Dunia April 13, 2029

    Wataalamu tupeni kwa kiina zaidi......hayo ni mambo muhimu kujua kiundani.
  4. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Dewji: Hakuna Kitu kinaua Urafiki kama Mikopo!!

    Mimi hutumia njia njia hii pia, imenisaidia kiasi....kiukweli haji kukopa kabisa
  5. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe asema atawaweka ndani wote wanaohoji ajiuzulu kutokana na MV Nyerere kuzama

    Nadhani ilikuwa kahama shinyanga
  6. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Hizi points 10 usipozielewa Na kufanyia kazi, basi kutakuwa Na shids nyingine kichwani...plzzz Fanya maamuzi mapema kabisa, pole sana.
  7. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuunda na kuendesha shughuli za ukurasa ( Page) kwenye Facebook

    Naona baadhi ha kurasa unakuta kuna matangazo ya makampuni mbali mbali. Hii inakuwaje Na namna ya kuwapata??
  8. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuunda na kuendesha shughuli za ukurasa ( Page) kwenye Facebook

    Asante Mkuu, kunafaida gani ya shughuli hii, Faida na changamoto...????
  9. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuunda na kuendesha shughuli za ukurasa ( Page) kwenye Facebook

    1.Namba msaada kwa mtaalamu yeyote humu ndani, 2. Msaada kujua faida na changamoto za UKURASA au page ya kwenye FB. Kuna Malipo.. Na yanalipwaje?? Asante.
  10. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Mafundi uashi wana laana?

    Unatakiwa kuhudhuria hapo, kama sio wewe basi MTU wako wa Karibu sana. Mie nipo site mpaka kinasomeka. Mifuko IPO kwenye Gari natoa mmoja mmoja, ikiisha unajua imeisha.
  11. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Lufingo pr school Rungwe Tukuyu, kulikuwa Mwalimu anachapa viboko Shule nzima bila kuchoka,,,tulimchukia sana 1981-1987...tulimpenda sana Mwl wa siasa Na E.K. Julius Ngori...alikuwa anatufanya kuipenda Shule. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa kwa njia ya Mizani kwenye Butcher

    Hapo kuanzaje Na sifuri...?
  13. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tafsiri ya Pesa, Hela, fedha Na maana zake kwa yeyote anayejuaga.....!?
  14. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nataka tv ya star times 40" bei gani?
  15. kazana upate

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Yaani natamani Mkuu wa nchi amtumie Lissu Na wataalamu wengine kutoa ushauri Na kulifanyia kazi sakata hili la Mchanga. Kiutaifa zaidi.
Back
Top Bottom