Kwanini uuzaji wa Kitimoto hufanyika maeneo ya ufichoni?

Natumaini hamjambo.
Kama wewe ni mdau kidogo au sana katika maswala ya ulaji ama ununuzi wa nyama ya nguruwe, basi utakua unanielewa zaidi katika uzi huu.

Hivi ni kwanini maeneo karibia yote kwa Dar hata baadhi ya mikoa mengine nyama hii pendwa huuzwa mafichoni kama magendo hivi?
Ni kwanini pia huwa hakuna mabango mazuri ya kuvutia wateja?

Karibuni wazoefu wa mambo mtuelimishe zaidi.
Coz ni hatarishi kama gongo na bangi,kiufupi vitu vyote haramu ufanywa mafichoni
 
Angalia hiyo
tapatalk_1551010837107.jpeg

K vant
 
Sijajua kwa nini wewe ndo unalia mafichoni. Kuna maeneo mengi sana ya wazi yanapikwa na kukaangwa kitimoto mikocheni,masaki,sinza,kinyama,mbezi,tabata,kimara n.k YA WAZI KABISA NA BANGO LIPO . Sasa sijui wewe kwa nini unaenda mafichoni ukidhani wote wanaenda mafichoni.

Kuna mtu mmoja pia ashawahi kuuliza kwa nini hotel nyingi zimejificha.kumbe sababu yeye anaenda guest houses za buku 2000 za uchochoroni basi akafikiri ndo ilivyo kwa wote.

Natumaini hamjambo.
Kama wewe ni mdau kidogo au sana katika maswala ya ulaji ama ununuzi wa nyama ya nguruwe, basi utakua unanielewa zaidi katika uzi huu.

Hivi ni kwanini maeneo karibia yote kwa Dar hata baadhi ya mikoa mengine nyama hii pendwa huuzwa mafichoni kama magendo hivi?
Ni kwanini pia huwa hakuna mabango mazuri ya kuvutia wateja?

Karibuni wazoefu wa mambo mtuelimishe zaidi.
 
Ni unafki tu....sababu wateja wake wengi ni waislam na wengi ni masheikh….wanakula sana hii kitu na hawataki kuonekana hadharani kuhofia kuchomwa moto au kupigwa mawe hadi kufa na waumini wao.
Acha kueneza uongo dhidi ya imani za wenzio. Kuna waislam na wenye majina ya kiislam. Muislam wa kweli hali kitimoto. Labda hao wenye majina.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Utafiti wako ni batili maana umeufanya Saudia ukitarajia kuutumia Tanzania.
Yupo sahihi, mimi nipo Tz lakini mikoa mingi hutumia kificho, au maeneo maalum, kwa mfano Tanga unaenda pembeni ya mji, kule sabasaba. Mikoa kama mbeya, kilimanjaro, n.k ni wazi kabisa...sio uarabuni tu huko sijui a sijafika.
 
Natumaini hamjambo.
Kama wewe ni mdau kidogo au sana katika maswala ya ulaji ama ununuzi wa nyama ya nguruwe, basi utakua unanielewa zaidi katika uzi huu.

Hivi ni kwanini maeneo karibia yote kwa Dar hata baadhi ya mikoa mengine nyama hii pendwa huuzwa mafichoni kama magendo hivi?
Ni kwanini pia huwa hakuna mabango mazuri ya kuvutia wateja?

Karibuni wazoefu wa mambo mtuelimishe zaidi.
NJOO HAPA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO UONE YAANI BONGE LA TANGAZO UTAFIKIRI VODACOM TENA WAMECHORA NA NYAMA YENYEWE YAANI NI TAMU BALAA
 
Kitimoto lazima kiuzwe chochoroni kutokana na watumiaji wengine hawapendi wajulikane,,,mfano mashekhe lazima wale kwa kujificha ili wasigundulike hii inatokana na mji kutawaliwa na waislam wengi
msifananishe uislam na mashekh mashehena mnaokaanao huko mitaani uislamu una misingi take ambae anaifuata huitwa muumin sio hao wa majina mnaojidanganya
 
Back
Top Bottom