Kwa maoni yangu hata waarabu walifuata dini ya wayahudi tu isipokuwa baada ya kuikopi dini hiyo wakaamua ui-modify/edit wakaiita kuwa ni dini yao (Islam) karne ya 6 baada ya karne 6. Angalia: Waarabu walikuja na kitu kinaitwa uislam lkn ndani yake mafundisho ni yaleyale yaliyofundishwa na wenzao...
Kama husumbuliwi na udini, basi wewe mchanga sana kwenye politics! Hasa hii 'Middle East Political Drama'. Unatakiwa kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu eneo hili kuanzia kale enzi za wafalme wa maeneo hayo km vile utawala kabla ya ujio wa falme za kiyunani, Kirumi, Kigiriki, waturuki na...
Jamani mtueleweshe wenye imani ambazo mambo ya kutahiri, kukeketa hayafungamani na matendo mema ya kukupeleka mbinguni. Ni maswala ya kiafya km uambiwe kuchemsha maji ya kunywa kujikinga na maradhi lakini haihusiani na mambo ya kuuona ufalme wa Mungu! Rafiki yangu mmoja wakati akinihubiria imani...
Wanaamini Yesu pia ni 'Mtume wa Mungu'. Cha ajabu hawafuati mafundisho yake! Na wakati mwingine kumkejeli! Kwao neno 'Mtume' sijui wanalichukuliaje! Ushauri kwa dada yetu, kama kweli ulibatizwa na kuelewa ubatizo ni nini, na unaelewa ndoa ni nini, basi chagua kati ya kumkana Yesu au ndoa ya...
Ninichokubaliana na wewe ni ku-reply kwenye mada ambayo siyo. Hata mimi niligundua baada ya kuwa tayari nime-send hivyo sikuwa na namna. Lakini nikufundishe kitu: Nasikitika unaposema wakristo hawafuati mafundisho kutoka kwa Nuhu. Nitakutafutia maeneo kwenye biblia yanayomzungumzia Nuhu na...
Bahati mbaya niko kwenye kipindi ambacho sipati muda wa kuingia kwenye mtandao. Nitatafuta muda nianze kukupa shule wewe unayejifanya ni mjuzi wa mambo ya middle east. Najua ujuaji unaosema hauna lolote zaidi ya kunukuu na kukariri yaliyomo kwenye kitabu ambacho unadhani wote wanakiamini. Mimi...
Sijui lengo lako hivyo sisomi. Kama unajua destruction iliyofanywa na kina Saladin na wengine kwenye maeneo ya wakristu sijui kwa nini unataka nisome destruction ya Waingereza kule Yerusalem. Unajua ni mara ngapi hekalu la Mfalme Suleiman Myahudi lilivyoharibiwa na kina Saladin, Wababilon nk...
Narudia kusema, umetawaliwa na udini. Unanipa nukuu za Korani, mimi nakiamini kitabu hicho hadi nisumbue brain yangu kusoma? Umekaririshwa 'Wazayuni, Wayahudi nk. lakini hakika elimu uliyopewa kuhusu mambo hayo ni ya jamii yenye imani za dizaini hiyo tu si vinginevyo hivyo quotation unayofanya...
Mnanikumbusha mwaka jana Simba walivyyona mambo yanawaendea kombo wakaanza kung'ang'ania Kagera Sugar walichezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano. Hali hii inatokea kwa wafa maji hivyo Msajigwa na wenzake wanatafuta namna yoyote ya kunusuru mambo! Hata km ni kweli mpira ukiisha hakuna mabadiliko.
Wewe ni Babeli kweli nimekubali. Maana hujui hata tofauti ya Mbunge aliyechaguliwa na wananchi na mbunge wa viti maalum! Hata Makamu wa Rais kwa fikra zako utasema kachaguliwa na wananchi!
Ukiona mtu anatumia sana neno 'Wazayuni' ujue mtu huyo hana uwezo tena wa kutoa comments kwenye swala hilo bila kuegemea mlengo wa kidini. Alishaathirika na mafundisho tangu utotoni hivyo hawezi tena kujinasua kwenye lindi la udini!. Anasema yeye ndiye ana ufahamu kuhusu siasa za mashariki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.