tehteh mi natamani tu kujua ulipokua by that time....
Hili ndo jibu lako? 😀 😀 😀 😀 oyoooooooo...... umechacha kabisa... maana umeandika utumbo afu wa dagaa sasa.
Yesu ni Mungu Kamili na mwanadamu kamili sio? Ngoja tutizame bibilia inatwambiaje kuhusu mungu kuwa mwanadamu?
Bakora kutoka kwenye bibilia kwa wafuasi wa bibilia (‘God is not a man nor a son of man’ (Numbers 23:19)) eti halafu kafiri mgeni asema mungu ni mwanadamu kamili 😀 😀 😀 rudi usome tena kitabu unachodai kukifuata. [emoji116] [emoji116]
Katahiriwa kisha uwe na udhu wa kuisoma Biblia Takatifuhapa Mungu anasema yeye ni Mtu wa Vita [emoji117]
Mimi ninajadili Maandiko ambayo yalikuwepo kabla ya muhammad hakuzaliwa wala mama yake mzaa mamaye [emoji106] [emoji117]
[emoji117]
hapo Mungu alivaa umbile Bora la Kibinadamu na UTUKUFU wake tumeuona [emoji106] [emoji123]![]()
kwa vile wewe huwezi kujibu point to point, ni ushahidi tosha kuwa huna elimu kabisa ishmael! hata drop of it huna.
Lakini mi ntakujibu hoja yako ya kwanini Mungu wetu hazai, Mungu wetu tunaemuamini sio kiumbe. sasa kwanini azae? 😀 😀 😀[emoji116] [emoji116]
[emoji117] Kwa nini unamsemea [emoji15] [emoji12] yeye Mungu wako sababu aliyo itoa ya kutokuwa na Mwana ni kwamba Hana mke! mngempa mke wa kungonoka naye angepata mwana...halafu sio allah aliye puliza mwazi wa binti amran mpaka akapata mimba na kuzaliwa isa [emoji117]sasa anadai hana mwana [emoji15] [emoji38][emoji38] [emoji38] ingekuwa zama hizi tungempeleka ustawi wa jamii kwa kukataa mwanae [emoji4]![]()
halafu ni Mungu mmoja tu ambae hana mwanzo wala mwisho wala sio dhaifu, wala huwezi kumchokonoa kwenye misalaba, wala haombi msaada kwa mungu baba (mana hakuzaa wala hakuzaliwa). Badala ya kumuabudu Allah kumbe mnamuabudu ZEUS? 😀 😀 😀 [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji117] [emoji117] Huo ujinga wa Mungu mmoja ndio ibilisi amewaagiza chaka hadi kajifanya Mungu na mnamuabudu [emoji12] MWENYEZI ametahadharisha ktk Amri zake tena ya kwanza kwamba; Usimuabudu mungu mwingine ila yeye [emoji117]kwa usukule anampinga MWENYEZI ili umuabudu mungu allah [emoji12] [emoji4]![]()
Endeleza ujinga sasa.... bibilia yako mwenyewe inakusuta
Kabla ya maelezo ya hii picha uloleta, nijibu post yangu ebu. Unaikimbia kwani ishaanza kukuunguza mapema yote hii? 😀 😀 😀Ona profile ya uliye agizwa na allah umgeze [emoji117] View attachment 751011 mgeze Leo kama hukuishia segerea [emoji4]
Majibu yote nimesha kuwekea [emoji115] [emoji115] naona huko unakoelekea lazima uvae mkanda au ujilipueOna profile ya uliye agizwa na allah umgeze [emoji117] View attachment 751011 mgeze Leo kama hukuishia segerea [emoji4]
Hiii kalii ngumu kumezaOna profile ya uliye agizwa na allah umgeze [emoji117] View attachment 751011 mgeze Leo kama hukuishia segerea [emoji4]
waje wakatae!H
Hiii kalii ngumu kumeza
Hakuna ulichojibu 😀 😀 😀 umeulizwa masuali unayakimbia. Bibilia yako mwenyewe inakusuta. eti Mungu mtu na bibilia inasema mungu hawezi kuwa mtu 😀 😀 😀Majibu yote nimesha kuwekea [emoji115] [emoji115] naona huko unakoelekea lazima uvae mkanda au ujilipue View attachment 751023
Mimi nakataa uzushi uloweka. Jibu masuali nlokuuliza nkujibu point moja badala ya nyengine kwenye utumbo uloweka. Nikikwambia lete ushahidi wa hayo uloyasema kwenye picha utakimbia kwa aibu. hizi mambo subiri uoneshe wafuasi wako kanisani wanaoamini Mungu kachomwa misumari 😀 😀 😀 mungu muweza wa yote katundikwa na viumbe wake mwenyewewaje wakatae!
Mimi nakataa uzushi uloweka. Jibu masuali nlokuuliza nkujibu point moja badala ya nyengine kwenye utumbo uloweka. Nikikwambia lete ushahidi wa hayo uloyasema kwenye picha utakimbia kwa aibu. hizi mambo subiri uoneshe wafuasi wako kanisani wanaoamini Mungu kachomwa misumari 😀 😀 😀 mungu muweza wa yote katundikwa na viumbe wake mwenyewe [emoji116] [emoji116]
[emoji117] [emoji117] Atakalo Huwa na Hana Mshauri [emoji123] [emoji106] [emoji118] [emoji118]
i dare you 😀 😀 😀 Mungu mtu na bibilia inasema mungu hawezi kuwa mtu.
[emoji116] [emoji116]Hakuna ulichojibu 😀 😀 😀 umeulizwa masuali unayakimbia. Bibilia yako mwenyewe inakusuta. eti Mungu mtu na bibilia inasema mungu hawezi kuwa mtu 😀 😀 😀
Oya oya oya 😀 😀 😀 hii post imenifanya nieke mikono kichwani kwa sababu ya mambo matatu.Nikimbie kwa aibu kwani Mimi ndie niliye mtuma akamuingilie mke wa mwanae?(zaid ibn harith), kukaingilia katoto aisha kuingiliana maiti [emoji117] View attachment 753314 nimekuwekea ushahidi kwamba Mungu Anasema yeye ni MTU wa Vita View attachment 753319 umebakia kama Toto linalilia pipi [emoji15] [emoji12]
Ukiona mtu anatumia sana neno 'Wazayuni' ujue mtu huyo hana uwezo tena wa kutoa comments kwenye swala hilo bila kuegemea mlengo wa kidini. Alishaathirika na mafundisho tangu utotoni hivyo hawezi tena kujinasua kwenye lindi la udini!. Anasema yeye ndiye ana ufahamu kuhusu siasa za mashariki ya kati wakati ufahamu anaouongelea ni uleule ulioegemea kidini. Ni hawa wanaoshinda wakikejeli 'Magharibi' wakati huohuo ukimpa fursa ya kuchagua ni wapi angependa kwenda kuishi atachagua-Marekani, Uingereza, nk. Ni hawahawa wanaotukana Waisrael au Wayahudi (wanapenda kutumia neno 'Wazayuni' bila kujua kuwa chuki zilizochomoza kati ya Wayahudi na Waarabu yana historia ya kugombania ardhi tangia Waisrael wanarudi kwao kutoka Misri na ugomvi huo ukaendelea kwa karne nyingi mpaka ujio wa kina - Mtume Mohamed na kuamua kuanzisha dini yake kwa kunakili yaleyale kutoka kwa Waisrael na kuishia kusema 'Nimeshushiwa kutoka kwa Mungu ilhali hata huyo Mungu alikuwa akihubiriwa karne takriban 6 kabla yake. Unakuta huku kwetu Mmatumbi mwenzangu naye anashadidia ugomvi usiomhusu wala kule kwa wanaogombana hana nasaba yoyote. Umekaririshwa chuki kuanzia utotoni kwenye 'madrasa' mpaka unazeeka bila chochote kichwani ila kuchukua muda mwingi kufuatilia mambo ya mashariki ya mbali ukiwa umejawa na chuki kwa watu wasiokuhusu wala ugomvi wao haukuhusu. Unawatukana Wayahudi bila kujua au kutokubali kuwa hata manabii unaowaamini nao pia ni Wayahudi (Au Mazayuni km mnavyowaita) kuanzia kina Musa, Mfalme Suleiman, kina Dauda, Yusufu, Ibrahim nk. Najua haya hayafundishwi kwenye madrasa ndiyo maana mtu anatukana kitu ambacho aidha anakijua nusunusu wakati yeye anadhani anajua au hajui kabisa! Umeshajiuliza ni kwa nini muislamu anakiri Yesu au Issa kama wanavyomwita ni Nabii wakati huohuo hawafuati mafundisho yake na mara nyingine kumkejeli? Umejiuliza uelewa au maana ya neno 'NABII'. Haiwezekani mkristo akubali kuwa mtu x ni nabii halafu asifuate mafundisho yake au unabii wake na hata kumkejeli. Chimbuko la umbumbumbu wote huu unaanzia kwa wale waliokuja kueneza uislam na kwa waliowakuta huku umatumbini! Ndiyo maana mpaka leo wenzetu bado hawaamini hata kutumia lugha za kimatumbi kuswali wakidhani swala haitakuwa na uzito wa kumfikia Molla. Elimu waliyoipata wakristo kwa karne nyingi imeshawaondoa kwenye fikra hizo. Hivyo, km ilivyo kwamba itachukua karne nyingi nchi zinazoendelea kuzifikia nchi zilizoendelea, vilevile itachukua karne nyingi uelewa wa waislam utafikia wakristo, sema tu wakristo kutokana na level ya uelewa ulipo huwezi ukakuta wanatumia vitisho ktk kueneza dini.Naumia kuona wasiokuwa na hatia wanakufa kwa matukio ya kutunga huku wakishabikiwa na watu kama nyie.
Vile vile unonekana hujui historia ya Mashariki ya kati.
Kweli kuna watu wana macho halafu hawaoni
Ukiona mtu anatumia sana neno 'Wazayuni' ujue mtu huyo hana uwezo tena wa kutoa comments kwenye swala hilo bila kuegemea mlengo wa kidini. Alishaathirika na mafundisho tangu utotoni hivyo hawezi tena kujinasua kwenye lindi la udini!. Anasema yeye ndiye ana ufahamu kuhusu siasa za mashariki ya kati wakati ufahamu anaouongelea ni uleule ulioegemea kidini. Ni hawa wanaoshinda wakikejeli 'Magharibi' wakati huohuo ukimpa fursa ya kuchagua ni wapi angependa kwenda kuishi atachagua-Marekani, Uingereza, nk. Ni hawahawa wanaotukana Waisrael au Wayahudi (wanapenda kutumia neno 'Wazayuni' bila kujua kuwa chuki zilizochomoza kati ya Wayahudi na Waarabu yana historia ya kugombania ardhi tangia Waisrael wanarudi kwao kutoka Misri na ugomvi huo ukaendelea kwa karne nyingi mpaka ujio wa kina - Mtume Mohamed na kuamua kuanzisha dini yake kwa kunakili yaleyale kutoka kwa Waisrael na kuishia kusema 'Nimeshushiwa kutoka kwa Mungu ilhali hata huyo Mungu alikuwa akihubiriwa karne takriban 6 kabla yake. Unakuta huku kwetu Mmatumbi mwenzangu naye anashadidia ugomvi usiomhusu wala kule kwa wanaogombana hana nasaba yoyote. Umekaririshwa chuki kuanzia utotoni kwenye 'madrasa' mpaka unazeeka bila chochote kichwani ila kuchukua muda mwingi kufuatilia mambo ya mashariki ya mbali ukiwa umejawa na chuki kwa watu wasiokuhusu wala ugomvi wao haukuhusu. Unawatukana Wayahudi bila kujua au kutokubali kuwa hata manabii unaowaamini nao pia ni Wayahudi (Au Mazayuni km mnavyowaita) kuanzia kina Musa, Mfalme Suleiman, kina Dauda, Yusufu, Ibrahim nk. Najua haya hayafundishwi kwenye madrasa ndiyo maana mtu anatukana kitu ambacho aidha anakijua nusunusu wakati yeye anadhani anajua au hajui kabisa! Umeshajiuliza ni kwa nini muislamu anakiri Yesu au Issa kama wanavyomwita ni Nabii wakati huohuo hawafuati mafundisho yake na mara nyingine kumkejeli? Umejiuliza uelewa au maana ya neno 'NABII'. Haiwezekani mkristo akubali kuwa mtu x ni nabii halafu asifuate mafundisho yake au unabii wake na hata kumkejeli. Chimbuko la umbumbumbu wote huu unaanzia kwa wale waliokuja kueneza uislam na kwa waliowakuta huku umatumbini! Ndiyo maana mpaka leo wenzetu bado hawaamini hata kutumia lugha za kimatumbi kuswali wakidhani swala haitakuwa na uzito wa kumfikia Molla. Elimu waliyoipata wakristo kwa karne nyingi imeshawaondoa kwenye fikra hizo. Hivyo, km ilivyo kwamba itachukua karne nyingi nchi zinazoendelea kuzifikia nchi zilizoendelea, vilevile itachukua karne nyingi uelewa wa waislam utafikia wakristo, sema tu wakristo kutokana na level ya uelewa ulipo huwezi ukakuta wanatumia vitisho ktk kueneza dini.
Kwa kweli mkuu inaumiza sana lazima tuwaonee huruma hao wanao uwawa bila ya hatia maana nao pia ni binadamu.Naumia kuona wasiokuwa na hatia wanakufa kwa matukio ya kutunga huku wakishabikiwa na watu kama nyie.
Vile vile unonekana hujui historia ya Mashariki ya kati.
Kweli kuna watu wana macho halafu hawaoni
ASK LIKE GREAT THINKER OTHER WISE YOU NEVER KNOWMagaidi wote wanatoka upande wa pili, kwann???
Narudia kusema, umetawaliwa na udini. Unanipa nukuu za Korani, mimi nakiamini kitabu hicho hadi nisumbue brain yangu kusoma? Umekaririshwa 'Wazayuni, Wayahudi nk. lakini hakika elimu uliyopewa kuhusu mambo hayo ni ya jamii yenye imani za dizaini hiyo tu si vinginevyo hivyo quotation unayofanya kawafanyie waislam wenzio! Unazungumzia mambo ambayo ulifundishwa na mtu mwenye mwelekeo huo hivyo na wewe huwezi kujinasua! Najua hujui hata chimbuko la mgawanyiko wa jamii ya Ki-Israel iliyopelekea kuwa na falme 2, Yudea (Kusini) na falme ya Israel (Kaskazini) na baadaye falme hizi kwa nyakazi tofauti zikachukuliwa mateka: Yudea - Babilon na Israel - Assyria. Hujui ni wepi walirudi na kwa utaratibu gani na wepi walikuwa asimilated uhamishoni. Sidhani km una uelewa wa kutosha kuhusu vita 3 kumazisa miaka ya 60 AC kati ya Waisrael kwa ujumla wao (Yudea+Israel) dhidi ya watawala wa Kirumi wakiwemo diaspora wa Kiisrael waliokuwa uhamishoni nchi mbalimbali hasa za Mediterania na nini kilitokea baada ya ufalme wa Kaskazini (Israel) kuto-support wenzao wa Yudea kupambana na Mrumi kiasi kwamba wakawaona ni wasaliti na hivyo kugawanyika na Wayudea kuamua hata kumkana Yesu na kumsimika Mfalme wao kama ndiye masihi wao na tangia hapo kukawa na wanaomwamini Yesu na waliojiita dini ya Wayahudi ilhali wote ni Wayahudi na wote ni Waisrael. Tafuta maana halisi ya jina la nchi inayoitwa Israel, chimbuko lake, Ibrahim ni nani hasa (najua utakimbilia kwenye Jirani!, mlolongo wa historia yake mpaka kule Misri, waliendaje kule kuanzia Yakobo na watoto wake 12 mpaka Yusufu-Musa na hadi kupatikana kwa nchi inayoitwa Israel, mpaka wakapatikaba kina Daudi, Suleiman, ujio wa Yesu nk aliyeleta ufahamu wa uwepo wa Mungu karne 6 kabla ya kina Mohamed kumjua baada ya kufika Uyahudini akifanya biashara ya mke wake. Asingepata fursa ya kufika na kuishi na Wayahudi na kujifunza imani zao na hatimaye kurudi kwao na kuwadanganya Waarabu wenzie ambao hawakuwa na elimu hiyo kiasi kwamba akawaaminisha kuwa 'ameshushiwa'. Utashushiwaje maandiko kuhusu uwepo wa Mungu aliyekewa anahubiriwa na wanafunzi wa Yesu tangu kufa kwake. Najua ndani ya Korani kuna kitabu cha Torati na Zaburi. Unajua vitabu hivi viko kwenye Biblia iliyokuwepo kabla ya Mohamed? Najua nikikuambia kuhusu unyama unaofanywa na ISIS au Bokoharam kwa kutumia kitabu 'kitakatifu' cha Koran utasema hao huwaungi mkono kwa sababu Uislam ni dini ya Amani na utanipa hata tafsiri ya neno Islam lakini hakuna mwislamu yeyote ama taifa lolote la kiislam lililochukua hatua kali kwa magaidi hawa kwa kutumia kitabu kitakatifu kufanya unyama ilhali hata mtoto wa miaka mitatu kwa kutokujua akaonekana anakashfu kitabu hicho waislam watotaka kwa wingi kumdhuru mtoto huyo na ndugu zake, kuchoma makanisa nk. Hiyo ndiyo dini yako!Naona umedhihirisha ujinga wako kiasi hata kwamba tofauti kati ya Israel na Jew tu hujui.
Hata wewe unaweza kujiunga na dini ya uyahudi japo si Muisrael lkn kwa taarifa yako tuu ukijiunga utakuwa ni Myahudi wa daraja la tatu maana ni dini yenye ku promote classes. Siwazushii jitahidi usome.
Ukiwa umeshindwa tuu kujua tofauti ya uIsrael na Uzayuni , sembuse siasa ya Mashariki ya kati??
Jew ( Uyahudi/ Uzayuni ) ni dini wenye sifa ya kuua Mitume wa Allah kama vile Zakaria ( Zachary) na mwanae Yahya (John, ambaye ni ndugu na Iysa) Allah awawie radhi wote hao. Pia walifanya jaribio la kumuua Iysa (Rehma na Amani iwe juu yake) na Mtume Muhammad ﷺ lakini wakashindwa kwa Rahma ya Mwenyezimungu.
Kwa upande Mwengine pia Mitume ulowataja walikuwa ni waisrael na si wayahudi; na bila shaka wote Dini yao ilikuwa ni Dini ya Nabii Ibrahim nayo ni Uislam. Israel ya sasa asilimia 40 ni waislam. Upo hapo!
Kwa ufupi tuu ukitaka kuwajua Wayahudi na Uyahudi basi soma Surat al Baqara na ukitaka kuwajua wakristo soma Surat Al Imran au hata Surat Maryam. Wameelezwa nje ndani.
Mitume wote ulowataja ni kweli walikuwa wana wa Israel( Nabii Yaquub aka Jacob) lakini hawakuwa Wayahudi. View attachment 754326View attachment 754327View attachment 754328View attachment 754329
Sijui lengo lako hivyo sisomi. Kama unajua destruction iliyofanywa na kina Saladin na wengine kwenye maeneo ya wakristu sijui kwa nini unataka nisome destruction ya Waingereza kule Yerusalem. Unajua ni mara ngapi hekalu la Mfalme Suleiman Myahudi lilivyoharibiwa na kina Saladin, Wababilon nk. Mimi sina chuki na Wapalestina km nyinyi mnavyochukia kiovyo-ovyo km wanavyofanya waislam. Nenda mataifa ya kikristo utakuta wanawakaribisha waislam hata kuwatafutia maeneo ya kujenga misikiti au kuabudia ndio maana hata uwanja wa mpira pale Munich wameruhusu kujenga msikiti. Nenda vyuo vikuu Ulaya, wakati wa otientation week waislam wanasaidiwa kuonyeshwa sehemu ya kuswali hata misikiti inaruhusiwa kujengwa kwenye premises ya chuo km ilivyo Ireland nchi ya kikatoliki per se lkn ukiingia UCD au Trinity Univetsity, nenda kule kusini chuo kikuu cha Limerick na mpakani mwa North Ireland kaskazini magharibi kuna chuo mji wa Letrim wameruhusiwa kujenga msikiti na chuo kinawasupport usafiri kuhudhuria swala. Hakuna kingine ila wakristo kutangulia kusoma kulipelekea watu kustaarabika na kutoa uhuru kwa kila mtu wakijua dini ni njia inayoleta fursa kwa jamii kuishi kwa amani. Tofauti wengine wanadhani ili kuwe na amani lazima wote waamini dini wanayoamini wao (sina maana nchi zote).Kama lugha inapanda soma hii [emoji116]
How Britain Destroyed the Palestinian Homeland