Israel na mbinu ya kuwatimua wakristo Jerusalem

Vizuri kwa andiko hilo. Lkn mapokeo yaliyokuwa yakizungumziwa hapo si yale ya baada ya mitume kufa bali kabla. Hilo lilionywa kabla na mtume Paul kuwa baada ya wenyewe kufa kutatokea mafundisho ya binadamu na kufanya ukristo uvurugwe (Matendo 20:29 - 30).
Ilikuwaje kuanzishwa u Suni na u Shia baada ya Mtume kufariki?
 
1. Mapokeo ni mila desturi za jamii fulani ambazo hurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda nyingine. Katika dini linaitwa pokeo kama halijatokana na biblia.

2. Mfano wa mapokeo yaliyokuja baada ya mitume kufa ni sherehe za kipagani za kuzaliwa kwa mungu jua, ambazo sasa zinaitwa ×-mas, kuwaondolea mikosi watoto, ambalo sasa ni kubatiza watoto etc.

3. Mwisho biblia siyo mapokeo soma 2Timotheo 3:16.
Du, aisee vitu vingi huvijui maskini? Mungu Jua ilikuwepo miaka mingi kabla ya kina Yesu wakati wa utawala wa kipagani wa Kirumi! Hii hujui! Hadi Yesu anahubiri uwepo wa kitu kingine kinaitwa Mungu hawakumwelewa!Ni pale mfalme Constantine wa Kirumi kuukubali ukristo kutokana na mawaidha ya mama yake na kuamua kubadilisha imani ya ufalme wake kukubali mafundisho ya Yesu. Na kwa kutambua ugumu wa kubadilisha imani ya watu wake waliokuwa wanaamini na kuabudu siku ya jua km jua ni Mungu wao akaona ili wamwelewe waendelee kuabudu siku ya jua (sunday) lkn badala ya kuliabudu jua wameabudu Mungu! Haina tofauti na Sheikh au Padri kubadilisha baa kuwa Msikiti au Kanisa. Mfalme huyu alitegemea akifanikiwa kubadilisha imani ya watu wake atarudisha siku halisi ya kuabudu lkn mpaka anakufa hakufanikiwa hivyo hakuna tena aliyetengua siku ya jumapili hadi leo. Mtu mwelewa anajua kumwabudu Mungu ni siku zote wala si Jpili wala Ijumaa. Hii haisumbui kwenye jamii understanding inabaki kwa wenzangu na mimi wanaopokea kila kitu hata km kina lengo la kuingiza mambo ya kibinadamu. Ndiyo maana wakristu hawaamini tena km zamani kuwa mpaka utumie kilatini ndiyo sala yako inapokelewa, imebaki kwa wenzetu watakapoelimika baadaye wataliona tatizo hili na kutumia lugha zao kwani Mungu ni wa makabila yote isiwe njia ya kueneza lugha fulani duniani kufanikisha mambo binafsi.
 
1. Mapokeo ni mila desturi za jamii fulani ambazo hurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda nyingine. Katika dini linaitwa pokeo kama halijatokana na biblia.

2. Mfano wa mapokeo yaliyokuja baada ya mitume kufa ni sherehe za kipagani za kuzaliwa kwa mungu jua, ambazo sasa zinaitwa ×-mas, kuwaondolea mikosi watoto, ambalo sasa ni kubatiza watoto etc.

3. Mwisho biblia siyo mapokeo soma 2Timotheo 3:16.
Ndugu yangu endelea kujifunza ili swala hili ulijue vizuri! Hakuna uhusiano kati ya sherehe za jua na Xmas. Nikufundishe: Imani ya kuabudu jua km Mungu ni ya warumi tangia enzi kabla ya Yesu. Siku hiyo ilikuwa inaabudiwa kipagani kabla ya ukristo na siku ya kuabudu jua ndiyo ikaitwa Sunday, yaani siku ya kuabudu jua - Sun. Hii siku haina mahusiano yoyote na Xmas kwani Xmas inaadhimishwa tarehe 25 Desemba na siyo Jumapili au sunday km unavyoelewa wewe kinusunusu. Nafurahi unapenda kujifunza, tatizo unajufunza huku ukiwa na negative attitudes towards christianity hivyo inakuchanganya.
 
Haya mambo huyajui! Umekaririshwa na watu ambao nao pia hawana weledi na maswala haya. Wakisikia 'Wayahudi' wanachukulia dini ya Kiyahudi ndiyo kabila la Wayahudi! na wakidhani kwamba hakuna Wayahudi kwa kabila ambao ni Wakristo! Umbumbumbu wa kiimani! Wala hawajui kilichotokea baada ya Wayahudi, au Waisrael kuwa na Falme mbili, ya Yudea na Israel ambao wote hawa ni Wayahudi. Wakati wa harakati za kupigania Uhuru kuutoa utawala wa Kirumi ufalme mmoja haukuunga mmoja harakati hizo na hivyo Warumi wakausapoti na kujumuika nao kwenye swala la imani na ndiyo wakasaidia kueneza ukristo na upande wa pili (Yudea) wakaamua kuukataa hata ukristo kwa sababu waliona wamewasalitiwa na Wayahudi wenzao wa upande wa ufalme wa Israel kwa kuunga mkono Warumi hivyo wakaamua Mfalme wao ndiye Masihi wao na kuamua kumkana Yesu. Hawa wote ni Wayahudi, uwepo wa dini ya kiyahudi na kikristo haimaanishi kuwa Wakristo wa huko si Wayahudi! Kukaririshwa mambo ni janga! Kuna watu hawataki kabisa kusikia kitu Myahudi wakati huohuo anakubali kuwa kina Ibrahim, Yusufu, Yesu (Issa) ni Manabii lakini hawajui kuwa wote hawa ni Wayahudi! Hawa ndiyo wanaokubali kuwa Yesu (Issa) ni Nabii lakini hawafuati mafundisho yake! Unashindwa kujua watu wa dizaini hii neno NABII wanalichukuliaje? Nimalizie kwa kukuhurumia, unapokataa kuwa Waisrael siyo wateule wa Mungu, ilikuwaje Manabii unaowakubali hata wewe watoke kwenye Taifa hilo? Kina Musa, Ibrahim, Yusufu, Daudi, Suleiman, Osaka nk (Hakuna Mwarabu kwenye orodha hii ukiachilia mbali waliojipachika karne 6 baadaye lakini kwa kutumia yaleyale yaliyomo kwenye biblia - km Torati, Zaburi nk). Au jiulize, ilikuwaje mwaka 1967 Waisrael waliwapiga Waarabu wote kwa vita ya siku 6, Waarabu wakitumia vitabu vyao na Waisrael wakitumia kitabu chao?
Kuna watu kweli vichwani mwao hamna kitu.uzi unahusu kitu kingine wewe unaleta uzi mwingine ndani ya uzi.si itapendeza ukiandika uzi mwingine ili usaidiwe majibu?ila ngoja nikusaidie kidogo tu!kuhusu watu kumkubali isa kuwa kweli nabii lakini hawamfuati,ni sawa na wewe kumkubali nuhu lakini haumfuati,na sababu kuu yakutomfuata ni manabii waliomaliza wakati wao wauongozi.nisawa na sisi wa tz hatumfuati jk kishamaliza muda wake.pili ibrahimu sio myahudi,uyahudi ulianzia kwa yakubu au yakobo,ambae ni mjukuu wa ibrahim,nikupe mfano kulingana na kichwa chako kibovu.julias kambarage nyerere ukoo wake ni nyerere, ila huyo mwenye jina la mwisho ambaye ndio nyerere mwenyewe yeye sio ukoo wa nyerere kwasababu jina la baba yake na babu yake halipo tena nyerere.kasome tena upya vitabu kisha fanya maamuzi sahihi,ubishi hautakusaidia kitu badala yake utachomwa bule
 
Pole sana... pamoja na maelezo mengi lakini nawe unaonekana huna uelewa wa kutosha!

Awali ya yote; Ibrahim yupi ambae ametokea Israel?!

Turudi kwenye hoja ya lauzi96.

Hivi nyie mashabiki wa "Taifa Teule"; taifa teule mnaloshabikia hasa ni lipi? Ni lile la Jamii ya Kiyahudi ambayo pia ndiyo jamii ya Yesu Kristo au taifa mnaloshabikia ni lile la imani ya Kiyahudi ambayo hadi kesho inaona Ukristo ni dini ya kishetani hali kadhalika Yesu na mwenyewe pia ni shetani?

Tuanzie hapo kwanza manake pamoja na kuwakejeli wenzako kwamba wamekaririshwa; I have strong feelings to believe wewe ndie uliekaririshwa!
 
Yaa Ibrahim hakuwa muisraeli. Ila Yakobo ndiye aliyepewa JINA la Israeli.
Pamoja na hayo Israeli kama taifa walimkana Yesu. Hivyo si TAIFA TEULE.
 
Nami pia sijaona nukuu yoyote uliyofanya usikubaliane na hoja zangu! Tunaamini hoja za Philosophers kina Aristotle, Socrates nk, kwani wao walinukuu kwa nani? Wewe unamwamini Mohamed kukuambia maneno anayoyasema ameshushiwa, ulimuhoji athibitishe? Unataka nithibitishe km Quoran ina kitabu cha Torati au Saburi ? Au nithibitishe kuhusu uwepo wa Mungu ulioambiwa wewe kupitia kitabu Chako ilhali biblia ilishahubiri uwepo wa Mungu hata kabla mababu na mababu wa Mohamed hawajazaliwa? Me! Never be flabbargasted to such extent! Tumewaachia nyie mliopokea mafundisho kutoka kwa waleeee, waliokuwa wanakataa elimu dunia eti kwa vile tu inatoka magharibi! Inanikumbusha zile nchi za Kiarabu zilivyochakazwa vibaya kwa siku 6 kwenye vita ambayo kila upande uliamini hata kutumia vitabu vya imani zao kuwa ndiyo za kweli hivyo watashinda vita. Matokeo yake upande uliokuwa na Mungu wa kweli ukashinda vita kilainii!
Kipind wayahudi wanashindwa vita na mataifa ya rashidun caliphate, mongolia khanate, ottoman empire nk (wayagudi) walikuwa wanatumia vitabu gani?. Au walikuwa hawatumii vitabu vya mungû?
KUSHINDA VITA HAKUTEGEMEI IMANI YA KWELI, MUNGU PEKEE NDO ANAAMUA UPANDE UPI USHINDE NA NI KWA SABABU ZAKE TU MWENYEWE.
 
Kuna watu kweli vichwani mwao hamna kitu.uzi unahusu kitu kingine wewe unaleta uzi mwingine ndani ya uzi.si itapendeza ukiandika uzi mwingine ili usaidiwe majibu?ila ngoja nikusaidie kidogo tu!kuhusu watu kumkubali isa kuwa kweli nabii lakini hawamfuati,ni sawa na wewe kumkubali nuhu lakini haumfuati,na sababu kuu yakutomfuata ni manabii waliomaliza wakati wao wauongozi.nisawa na sisi wa tz hatumfuati jk kishamaliza muda wake.pili ibrahimu sio myahudi,uyahudi ulianzia kwa yakubu au yakobo,ambae ni mjukuu wa ibrahim,nikupe mfano kulingana na kichwa chako kibovu.julias kambarage nyerere ukoo wake ni nyerere, ila huyo mwenye jina la mwisho ambaye ndio nyerere mwenyewe yeye sio ukoo wa nyerere kwasababu jina la baba yake na babu yake halipo tena nyerere.kasome tena upya vitabu kisha fanya maamuzi sahihi,ubishi hautakusaidia kitu badala yake utachomwa bule
Ninichokubaliana na wewe ni ku-reply kwenye mada ambayo siyo. Hata mimi niligundua baada ya kuwa tayari nime-send hivyo sikuwa na namna. Lakini nikufundishe kitu: Nasikitika unaposema wakristo hawafuati mafundisho kutoka kwa Nuhu. Nitakutafutia maeneo kwenye biblia yanayomzungumzia Nuhu na kukuelewesha jinsi Nuhu anavyohubiriwa makanisani tofauti na ulivyokaririshwa! Pia, ukitaka kuelewa hasa Uyahudi na Wayahudi au Israeli usiishie tu kusoma kutoka kitabu chenu cha Korani. Soma pia biblia na vitabu vingine vya historia, jiografia nk. Utajifunza kuwa jina la Taifa la Israeli halikuwepo kabla ya Yakobo kufia Misri na mifupa yake kurudishwa kuzikwa kwao Uyahudini. Utajua kwamba Yakobo alipewa jina la Israeli na ndiyo jina ambalo Wayahudi waliporudi kutoka utumwani wakaamua kumuenzi Yakobo kupitia jina lake jipya la Israeli na kuita Taifa lao kwa jina hilo - Israel! Baba yake Ibrahim alikufa bila kuwepo kwa kitu kinachoitwa Israel! Wote hao ni Wayahudi na Taifa lao linaitwa Israeli lililotokana na mtu anaitwa Yakobo! Ukitaka kujifunza haya ukiwa umejawa na udini na kuishia kusoma Korani iliyoandikwa na watu wenye mlengo huo huwezi kupata elimu hii utaishiwa kukaririshwa vitu kijujuu kwani muanzilishi wa dini hiyo aliyekuja karne 6 baada ya Yesu alikuwa na malengo ya kuanzisha dini dhidi ya ukristo hivyo asingeweka wazi baadhi ya mambo ambayo yangedhoofisha kitu alichobuni kukianzisha.
 
Aya wayahudi wa tandale kwa nn wanataifisha Mali za kikiristo, taifa la Mungu hahahaha
 
Kuna mijamaa huwa inaamini wayahudi ni wakristo....utakuta wanatoa povu kuwatetea, Muyahudi ni adui mkubwa wa uislam na ukristo....haya ni majukuu ya Ham hayawezi yakamuabudu mungu hata....[emoji35]
 
Haya mambo huyajui! Umekaririshwa na watu ambao nao pia hawana weledi na maswala haya. Wakisikia 'Wayahudi' wanachukulia dini ya Kiyahudi ndiyo kabila la Wayahudi! na wakidhani kwamba hakuna Wayahudi kwa kabila ambao ni Wakristo! Umbumbumbu wa kiimani! Wala hawajui kilichotokea baada ya Wayahudi, au Waisrael kuwa na Falme mbili, ya Yudea na Israel ambao wote hawa ni Wayahudi. Wakati wa harakati za kupigania Uhuru kuutoa utawala wa Kirumi ufalme mmoja haukuunga mmoja harakati hizo na hivyo Warumi wakausapoti na kujumuika nao kwenye swala la imani na ndiyo wakasaidia kueneza ukristo na upande wa pili (Yudea) wakaamua kuukataa hata ukristo kwa sababu waliona wamewasalitiwa na Wayahudi wenzao wa upande wa ufalme wa Israel kwa kuunga mkono Warumi hivyo wakaamua Mfalme wao ndiye Masihi wao na kuamua kumkana Yesu. Hawa wote ni Wayahudi, uwepo wa dini ya kiyahudi na kikristo haimaanishi kuwa Wakristo wa huko si Wayahudi! Kukaririshwa mambo ni janga! Kuna watu hawataki kabisa kusikia kitu Myahudi wakati huohuo anakubali kuwa kina Ibrahim, Yusufu, Yesu (Issa) ni Manabii lakini hawajui kuwa wote hawa ni Wayahudi! Hawa ndiyo wanaokubali kuwa Yesu (Issa) ni Nabii lakini hawafuati mafundisho yake! Unashindwa kujua watu wa dizaini hii neno NABII wanalichukuliaje? Nimalizie kwa kukuhurumia, unapokataa kuwa Waisrael siyo wateule wa Mungu, ilikuwaje Manabii unaowakubali hata wewe watoke kwenye Taifa hilo? Kina Musa, Ibrahim, Yusufu, Daudi, Suleiman, Osaka nk (Hakuna Mwarabu kwenye orodha hii ukiachilia mbali waliojipachika karne 6 baadaye lakini kwa kutumia yaleyale yaliyomo kwenye biblia - km Torati, Zaburi nk). Au jiulize, ilikuwaje mwaka 1967 Waisrael waliwapiga Waarabu wote kwa vita ya siku 6, Waarabu wakitumia vitabu vyao na Waisrael wakitumia kitabu chao?
Ndugu hawa watu unaowazungumzia wengi wao hawaijui historian ya Israel vizuri.Wameanzia hewani tu karne ya 6 wakajifitisha kwenye historia ya Ibrahim wakajiita wana wa Ibrahim.Ukiwaeleza ni tatizo usimwamshe aliyelala.Waache na ujinga wao wafurahi.
 
Umetoa maelezo mengi na simulizi ndefu. Lkn hujatumia msahafu wowote kuonesha such kuthibitisha hayo unayoongea. Nilitegemea nione mistari ya kwenye Quran au biblia inayounga mkono hoja yako. Usipofanya hivyo hakuna atakaye sadiki, ataona ni mtazamo au mawazo yako.
Kama historian tu huiwezi utaelewa biblia mambo ya kiroho yanayotafsiriwa kwa namna ya rohoni?Nakushauri utafute historian itakufaa zaidi maana akinukuu Biblia na quran huwa hazifanani mtaishia kubishana
 
Sijui na wewe unakuja na issue gani?
Historian ndo mdudu gani?
Embu nenda kajifunze uandishi wa kujenga hoja ndiyo uje hapa kujadili.
 
Jambo la msingi Kanisa katoriki walipe kodi kwa myahudi basi maisha yaendelea Kama kawaida na sio kubishana:sijui mmeleewa mlio waislam
 
Mali za kanisa Yerusalemu zataifishwa

MUUNGWANA BLOG / 1 day ago

Serikali ya Israel yataifisha mal ina milki za kani Yerusalmeu Mashairiki katika eneo linalokaliwa kimabavu.

Israel inajaribu kutaifisha mali za kanisa Yerusalemu kwa kulazimisha malipo makubwa ya ushuru.

Katibu mkuu wa tume ya kiislamu na ukristo ya kuunga mkono Yerusalemu na miji mitakatifu Hanna Isa amefahamisha kuwa kiwango cha dola milioni 191 za ushuru zinatakiwa na serikali.

Serikali ya Israel inaomba kiwango hicho cha kodi licha ya kutambua kuwa kiwango hicho kanisa hailina uwezo wa kulipa kiwango hicho.

Isa aliendelea kusema kuwa Israel inajaribu kutaifisha mali za kanisa jii Yerusalemu.

Miongoni mwa mali zinalengwa na Israel kutaifishwa na pamoja na mashamba, vituo vya biashara, shule, hospitali na milki nyingine.

Kwa mujibu wa Isa , Israel kumalizika kodi hiyo ni kuwalamisha wakristo kuondoka Yerusalemu.
Toka lini muislamu akamsemea Mkristo mtu ambae kitabu chao kinawatambua km maadui
 
Haya mambo huyajui! Umekaririshwa na watu ambao nao pia hawana weledi na maswala haya. Wakisikia 'Wayahudi' wanachukulia dini ya Kiyahudi ndiyo kabila la Wayahudi! na wakidhani kwamba hakuna Wayahudi kwa kabila ambao ni Wakristo! Umbumbumbu wa kiimani! Wala hawajui kilichotokea baada ya Wayahudi, au Waisrael kuwa na Falme mbili, ya Yudea na Israel ambao wote hawa ni Wayahudi. Wakati wa harakati za kupigania Uhuru kuutoa utawala wa Kirumi ufalme mmoja haukuunga mmoja harakati hizo na hivyo Warumi wakausapoti na kujumuika nao kwenye swala la imani na ndiyo wakasaidia kueneza ukristo na upande wa pili (Yudea) wakaamua kuukataa hata ukristo kwa sababu waliona wamewasalitiwa na Wayahudi wenzao wa upande wa ufalme wa Israel kwa kuunga mkono Warumi hivyo wakaamua Mfalme wao ndiye Masihi wao na kuamua kumkana Yesu. Hawa wote ni Wayahudi, uwepo wa dini ya kiyahudi na kikristo haimaanishi kuwa Wakristo wa huko si Wayahudi! Kukaririshwa mambo ni janga! Kuna watu hawataki kabisa kusikia kitu Myahudi wakati huohuo anakubali kuwa kina Ibrahim, Yusufu, Yesu (Issa) ni Manabii lakini hawajui kuwa wote hawa ni Wayahudi! Hawa ndiyo wanaokubali kuwa Yesu (Issa) ni Nabii lakini hawafuati mafundisho yake! Unashindwa kujua watu wa dizaini hii neno NABII wanalichukuliaje? Nimalizie kwa kukuhurumia, unapokataa kuwa Waisrael siyo wateule wa Mungu, ilikuwaje Manabii unaowakubali hata wewe watoke kwenye Taifa hilo? Kina Musa, Ibrahim, Yusufu, Daudi, Suleiman, Osaka nk (Hakuna Mwarabu kwenye orodha hii ukiachilia mbali waliojipachika karne 6 baadaye lakini kwa kutumia yaleyale yaliyomo kwenye biblia - km Torati, Zaburi nk). Au jiulize, ilikuwaje mwaka 1967 Waisrael waliwapiga Waarabu wote kwa vita ya siku 6, Waarabu wakitumia vitabu vyao na Waisrael wakitumia kitabu chao?
Kiongozi mkuu wa Wayahudi wa Marekani amenukuliwa akisema Yesu anastahili kuchemshwa kwenye sufuria kubwa la shahawa
Google WhyJews don't accept Christ
Waislamu na waarabu wanaingiaje hapa
Wakati Ibrahimu anaagana na Ismaeli unajua alimwambia nini?
Jiongeze
 
Back
Top Bottom