Naona umedhihirisha ujinga wako kiasi hata kwamba tofauti kati ya Israel na Jew tu hujui.
Hata wewe unaweza kujiunga na dini ya uyahudi japo si Muisrael lkn kwa taarifa yako tuu ukijiunga utakuwa ni Myahudi wa daraja la tatu maana ni dini yenye ku promote classes. Siwazushii jitahidi usome.
Ukiwa umeshindwa tuu kujua tofauti ya uIsrael na Uzayuni , sembuse siasa ya Mashariki ya kati??
Jew ( Uyahudi/ Uzayuni ) ni dini wenye sifa ya kuua Mitume wa Allah kama vile Zakaria ( Zachary) na mwanae Yahya (John, ambaye ni ndugu na Iysa) Allah awawie radhi wote hao. Pia walifanya jaribio la kumuua Iysa (Rehma na Amani iwe juu yake) na Mtume Muhammad ﷺ lakini wakashindwa kwa Rahma ya Mwenyezimungu.
Kwa upande Mwengine pia Mitume ulowataja walikuwa ni waisrael na si wayahudi; na bila shaka wote Dini yao ilikuwa ni Dini ya Nabii Ibrahim nayo ni Uislam. Israel ya sasa asilimia 40 ni waislam. Upo hapo!
Kwa ufupi tuu ukitaka kuwajua Wayahudi na Uyahudi basi soma Surat al Baqara na ukitaka kuwajua wakristo soma Surat Al Imran au hata Surat Maryam. Wameelezwa nje ndani.
Mitume wote ulowataja ni kweli walikuwa wana wa Israel( Nabii Yaquub aka Jacob) lakini hawakuwa Wayahudi.
View attachment 754326View attachment 754327View attachment 754328View attachment 754329