Recent content by kayaula

  1. kayaula

    JamiiForums Tanzania Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Wasanii wenyewe vichwa vibovu
  2. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usikurupuke kuingia kwenye ndoa...

    Post yako inadhihirisha namna wengi tusivojua yanayohitajika kwenye ndoa kila mwanandoa ataleta mawazo yake pengine kwa kufeli au alipofaulu mtihani wa ndoa binafsi naamini kutimiza mahitaji ya mwanamke ni gumu aamue mwenyewe
  3. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

    Umefikiria kama wazazi wasingekuwepo ingekuwaje
  4. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

    Usijari sisi tunaandaa mawazo mapya baada yahilo
  5. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KERO Uchumi wa "Mr" umeyumba, nalea familia mwenyewe, maisha ni magumu sana, natamani kujiua

    Siuwa mnataka mafanikio yenu bila kushirikisha waume zenu uweke hadi bondi ya nyumba wejiuwe tu ukitaka
  6. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

    Kunakupata mpenzi kwaajiri yaumalaya na mapenzi rasimi mfano muache mke ulikuwa umesogea halafu utafute mwingine
  7. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Bado hawajui wanawake hata hao unapoona wanaume wanalia sio kwamba wamepata wanawake wabaya tatizo wanabadirika kwasababu ndogo japo sio wote
  8. kayaula

    JamiiForums Tanzania Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

    Mkuu hayo maisha nimeyaishi kwawiki unashiba mara moja shule ada ilikuwa 200 nahaikulipika kwa maisha yangu yaleo sio kama jana lakini bado napambana nipate uhakika wakula kwanza masikini hana mipango mikubwa kama yenu nawanaamani kuliko hao wenye uhakika labda kwenye magonjwa Siku ukiwakuta...
  9. kayaula

    JamiiForums Tanzania Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

    Mkuu hayo maisha nimeyaishi kwawiki unashiba mara moja shule ada ilikuwa 200 nahaikulipika kwa maisha yangu yaleo sio kama jana lakini bado napambana nipate uhakika wakula kwanza masikini hana mipango mikubwa kama yenu nawanaamani kuliko hao wenye uhakika labda kwenye mago
  10. kayaula

    JamiiForums Tanzania Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

    Mngejua wenyewe hawana hizo mambo wana amani hawana msongo wamawaz
  11. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikimuoa mke wangu

    Kama kweli utaingia kwenye ndoa na mtizamo huu ndoa itakusumbua mkuu
  12. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Kwa dunia hii kizazi tunavyosema kibovu miaka ijayo tutatamani hata hiki
  13. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Kivip mk
  14. kayaula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Kama hauko kwenye ndoa mjadala huu unakusudia nn halafu huwa nashangaa wenye nyuzi hizi niwale walionje
  15. kayaula

    JamiiForums Tanzania Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

    Aha saw mkuu
Back
Top Bottom