Recent content by kay de mo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na hii message kwamba nimeshinda euro laki 8 na 50 jee ni kweli?

    Hii nayo naibiwa wajameni? mana imekuwa hakuna habari njema hadi utoe pesa kwanza. kuhusu hao wa scholarship za Scholars Hub Africans wanasema full funded lakini kuna pesa zilipwe kukamilisha usaili wa MBA studies Texila American University. hivi nao wanaukwel wowote?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na hii message kwamba nimeshinda euro laki 8 na 50 jee ni kweli?

    last month hao coca na Pepsi nimewaonesha matapeli wengine tunahofu ya Mungu hawatuwezi hata wakisomea degree.ukitaka kuamini nenda nao sawa for fun hadi watagotea kuwa to release your fund, Authority ya kule uingereza inakutaka uende.au laa basi wanakuconnect na mawakili in partnership to Pepsi...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

    Bacyckerbacy...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

    nili reply kabla sijapitia za wengine.nimegundua kumbe unasumbua akili na muda wa wenzio kushauri kitu ambacho hakipo.unasikia raha gani kuwa muanzisha mada za uongo? hivi hujui kama kuna wenye matatizo ya kweli wanahitaji umakini wetu.I feel sorry for you my dear,you real make me regret to...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

    boss ni mwanaume kwenye jamii kama wanaume wengine.hata ww unaweza kuwa boss,je vijana wenzio wakuvunjie vioo? angalia sana kurupu zako.we muangalie kwa vigezo vya mwanaume kama atafaa kuwa wako au laa.lakini we umetanguliza inferiority mbele wakati hujaolewa.huyo c boss ni mwanaume anakuhitaji...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    sijapenda the way alivyo na mapuuza.mi alinisikitisha mwanzo ila aliposema ukwel wake nilitamani kumchapa.kwann sasa hiyo tabia ya uzinzi kiholela please Fanya ya kale.kwa sasa tulia na mpenzi mmoja mwaminifu angalia ndoto zako kwani unahitaji kuwa na watoto na kuwalea pia hivyo vyoye...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

    mwalimu unadharaulisha fani.unaleta stori za watu walikuambia upuuzi gani.yaani umetudharau sana na ss tuanze kukushauri uchepuke wakati hujaenda hospt.mi niliachwa kisa sizai kwa mateso sana.nimerudi home nikazunguka hospt mayai yanazalishwa,mji wa mimba uko sawa ila mirija iliziba baada ya...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

    damu sio lazima ila maumivu makali ni lazima kwasababu ni njia ambayo haijawahi pitiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wote mkiwa kama huyu wote mtaolewa: Yeye kwake mwanaume ni malighafi

    karibia wadada wote humu wameplay part kwa wanaume zao tena zaidi ya mmoja kihivyo kama mchaga huyo.ila wamekuja kula maisha wengine sasa hali hii zaidi ya Mara tatu humgeuza mwanamke na kungojea vilivyotayari kwamba labda ndo style.inachosha unajua kuibiwa project yako uliyowekeza kwa miaka 13...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    unatamanije kuwa kahaba? ndugu yangu unaumri gani na elimu yako kazi yako jee? vinatosha kukufariji ukivuta muda mzuri kwako atatokea tuu.ukahaba haupendezi kwanza hata nafsini tu.ukiona hatokei chukua nafasi zaa mtoto wako nahakika atakuelekeza namna ya kuishi kuliko ukiwa bila mtoto na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    *akiba benki Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    nilikomba akiba yangu Benji kuwekeza namaingo.hadi sasa siamini kama wamenidhurumu au miradi inachelewa kwa sababu nje ya uwezo wao.tuliyokubaliana mwanzo na maelezo yao mengine unashawishika kuwekeza hatimae unakutana na matamko mapya kila siku.wamenikwaza sana eti asiehudhuria masomo alhamisi...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Moyo umevunjika, siamini msichana tena

    nguvu ya mapenzi naiamini inaweza kuharibu maisha ya mtu.jaribu kufanya vinavyofurahisha nafsi yako kama music,swimming,football playing,sleeping na achana na mtu asie na moyo wa huruma.Leo utahurumia atakuumiza tena.labda kiubinadamu na taratibu kilaghai muulize angependa umpe msaada gani kwani...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Taja wimbo unaohisi kama ulitungiwa wewe vile

    rockbaye-clean bandit Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani itakayoniwezesha kuonana na afisa elimu wilaya?

    aisee! tambua nawewe ungependa mtu akujie kwa staili ipi.Fanya hivyo pia kwa mwingine.vaa vizuri,jiamini unaweza kuongea nae kama rafiki,maelezo sahihi ya bidhaa yako na bidhaa zenyewe beba ,kuwa jeuri kidogo usife moyo kwa hali utakayo kutana nayo kule.sali kabla hujatoka nyumbani.Barikiwa sana...
Back
Top Bottom