Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

Lakin kwa sasa mi nashangaa sijuw bikr zinatoka zwnyewe tu bila kuitoa?maana saiv unakuta kadogo lakin mshumaa ukichomeka inabana kidogo tu badae ndan
 
Asalaam waungwana
Kuna kitu kinanitatiza hapa kuhusu bikra wengi wanasema kama hujawhi kufanya mapenzi ndo bikra na siku ya kwanza kufanya hivyo lazima upate maumivu pia damu lazima itoke asa kama damu ijatoka na hujapata maumivu zaidi tu umejisikia hovyo mwili kuchoka na hamu ya chakula kama homa hivi huna halafu ndo siku ya kwanza hujawahi fanya hilo tendo kabla inakuaje hapo?
Mda mwingine hua inatokea ila kwa bikra kama bikra dam lazma itoke ata kidogo
 
Sio lazima dada angu,..inaweza itoke ama isitoke ,inategemea na u gentle wa mtoaji..hawa watu wanaokwambia lazma itoke hawajawai toa bikra hawa,tuliobahatika kutoa bikra zaid ya moja tunaelewa tunaongea nin.
Mkuu damu isitoke hata maaumivu usisikie kweli?? Hapo bikra itakuwa imetolewa aunty jamaa ameingiza jujuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo IPO co lazma dam itoke weng naowajua awakutoka damu THEN KM ulikua unaendsha an baskeli zle znye mwamba yaan fonex zile zinabikiri na kutanua misuli ya uke so atakm hukuwah sex but taar ulikua umeshatanua misuli ndmn hujatoka dam wala hujaskia maumiv an homa ni kawaida pipo znauguaga SO ACHA WOGA BIKRA NI YULE AMBAYE HAJAWAH SHIRIK TENDO IWE KATOKA DAMU AU HAJATOKA yeah NI mambo km izo apo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asalaam waungwana
Kuna kitu kinanitatiza hapa kuhusu bikra wengi wanasema kama hujawhi kufanya mapenzi ndo bikra na siku ya kwanza kufanya hivyo lazima upate maumivu pia damu lazima itoke asa kama damu ijatoka na hujapata maumivu zaidi tu umejisikia hovyo mwili kuchoka na hamu ya chakula kama homa hivi huna halafu ndo siku ya kwanza hujawahi fanya hilo tendo kabla inakuaje hapo?
vp umetolewa bk
 
Hata kama sio damu nyingi lkn lazima itoke
 
Mkuu inaonekana unauzoefu wa kutosha.
Hiyo IPO co lazma dam itoke weng naowajua awakutoka damu THEN KM ulikua unaendsha an baskeli zle znye mwamba yaan fonex zile zinabikiri na kutanua misuli ya uke so atakm hukuwah sex but taar ulikua umeshatanua misuli ndmn hujatoka dam wala hujaskia maumiv an homa ni kawaida pipo znauguaga SO ACHA WOGA BIKRA NI YULE AMBAYE HAJAWAH SHIRIK TENDO IWE KATOKA DAMU AU HAJATOKA yeah NI mambo km izo apo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechanism ya mabaiskeli kutoa bikra ikoje?

_ where ever you are remember me_
 
wekundu lazima watoke,kukabana,kung'ata kilio cha maumivu,mapaja kutetemeka n.k kama hakuna hizo sign hapo hamna kitu kuna mdada tulienda kubanduana akadai bdo kuguswa ila nilivyozamisha mkuyenge ukazama ndan akaomba pia round ya pili nilipatwa na maswali pale hii bk sampuli ya wapi, now ukiniambia wee bk nakutawany nitizame hymen kama ipo
 
Asalaam waungwana
Kuna kitu kinanitatiza hapa kuhusu bikra wengi wanasema kama hujawhi kufanya mapenzi ndo bikra na siku ya kwanza kufanya hivyo lazima upate maumivu pia damu lazima itoke asa kama damu ijatoka na hujapata maumivu zaidi tu umejisikia hovyo mwili kuchoka na hamu ya chakula kama homa hivi huna halafu ndo siku ya kwanza hujawahi fanya hilo tendo kabla inakuaje hapo?
ouk starehe yk ndo ujinga wako c uliamin Tzania haiku mwaga damu ndo maana ht ktk kutorewa bikra ako huja mwaga damu una hc har ya nchi ako ndo imehamia mwlini mwako
 
Hapa naona watu wanakujibu (their feelings) "hisia zao" kwa jinsi wanavyoelewa kuhusu kutoka kwa bikra, nadhani kimsingi unahitaji majibu ya kitaalamu zaidi ama kitabibu, inawezekana ikatokea hali kama iyo kama mhusika anazo disorder fulani ama pia inawezekana isiwe kweli kutoka bikra bila damu kutoka, consulty a medical doctor(Muone Daktari).
 
damu isipotoka..... tofouti nakuwa mwendesha baiskeli sitokuelewa.....🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom