Nitumie njia gani itakayoniwezesha kuonana na afisa elimu wilaya?

jina langu

Member
Jul 16, 2017
54
97
Asalaam Aleykum walahmatullaah taallah wabaraqatuh!

Moja kwa moja niende kwenye point
Mimi ni mjasiriamali ila kuna shughuli nataka kupitia kufanya mashuleni na nilipenda kabla sijaenda mashuleni nitangulie kumuona afisa elimu wilaya.

Kwa mnaojua utaratibu wa kuwaona hawa waheshimiwa ni mbinu gani nzuri hasa kati ya kuwapigia simu, kuwaandikia barua, kuwafuata direct, kupitia mlinzi wake au njia gani nzuri hasa na vipi kuhusu kuwa ukiingia kwenye ofisi zao huwa wanadharau sana na huenda wasikusikilize, Je ni kweli? Na je anaweza kumpokea mtu yeyote kama mimi ambaye sina hata hadhi ya usomi wowote????



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo afisa elimu wa wilaya ambaye ana mlinzi wake yupo mkoa gani?
 
aisee! tambua nawewe ungependa mtu akujie kwa staili ipi.Fanya hivyo pia kwa mwingine.vaa vizuri,jiamini unaweza kuongea nae kama rafiki,maelezo sahihi ya bidhaa yako na bidhaa zenyewe beba ,kuwa jeuri kidogo usife moyo kwa hali utakayo kutana nayo kule.sali kabla hujatoka nyumbani.Barikiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom